Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Acha kupotosha hapo wayahudi wanaambiwa kama wao wanamchukia Jibril basi yeye ndo alimteremshia Mtume Muhammad Qur’an
Wayahudi awajawai kumchukia malaika wa kweli isipokuwa shetani na malaika zake majini hivyo wayahudi wanamchukia jibril kwa sababu ni shetani na jini .....hapo muhammad anawaambia wayahudi kuwa Mungu kamuamrisha shetani na jini Jibril kumshushia wahi Muhamad yaani ndiyo yale yale ya muhammad kumsikimisha shetani kisha huyo shetani kumwongoza muhammad....muhammad kathibitisha kuwa na jini linalo muongoza kumcha mungu
 
👉ALIYE kuwa ADUI WA JIBRIL NI NANI?
Unachotakiwa kujua ni kuwa yeye ilikuwa inamuhusu Jibril na hilo linathibitishwa na maandiko mengine je ikiwa huyo adui wa Jibril ndo ametajwa kuwa aliyeiteremsha Qur’an kuna maandiko mengine ya kuthibitisha?
 
Kwann Wayahudi wamchukie Jibril?.
Kwamba wayahudi wanaona Jibril kuwa ni adui yao kiaje?.
Wayahudi wanamjua Jibril?.

Kumbuka Mohamed alikuwa Madina na Makkah na sio Uyahudini.

Haya ww unasema adui wa Jibril ni Wayahudi.

(Ngoja nijaribu kukubaliana na ww)
Kwani huko Makka hakukuwa na wayahudi?
 
Kwann Wayahudi wamchukie Jibril?.
Kwamba wayahudi wanaona Jibril kuwa ni adui yao kiaje?.
Wayahudi wanamjua Jibril?.

Kumbuka Mohamed alikuwa Madina na Makkah na sio Uyahudini.

Haya ww unasema adui wa Jibril ni Wayahudi.

(Ngoja nijaribu kukubaliana na ww)

Ila sasa Huyo adui (myahudi) kwenye kukubali hii hoja anatakiwa awe adui pia na hawa👇👇👇.

Quran 2:98
"Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri."

Je Wayahudi ni maadui wa Mwenyez Mungu au mitume. Au Mikael?.
Jibu ni hapana.

Kwahiyo Bro Lwiva .
Quran imeshushwa na shetan.
Aliyemtokea Mtume pangoni ni Shetan.
Hakuna shaka kwenye hili.

Maana shetan ndio adui wa hao wote.
Shetani ni adui.
Quran 2:36
Shetani ni adui aliye wazi.
Quran 2:208
Shetani ni adui aliye dhaahiri.
Quran 36:60
Jamaa anajidai kachanganyikiwa
 
Kwann Wayahudi wamchukie Jibril?.
Kwamba wayahudi wanaona Jibril kuwa ni adui yao kiaje?.
Wayahudi wanamjua Jibril?.

Kumbuka Mohamed alikuwa Madina na Makkah na sio Uyahudini.

Haya ww unasema adui wa Jibril ni Wayahudi.

(Ngoja nijaribu kukubaliana na ww)

Ila sasa Huyo adui (myahudi) kwenye kukubali hii hoja anatakiwa awe adui pia na hawa👇👇👇.

Quran 2:98
"Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri."

Je Wayahudi ni maadui wa Mwenyez Mungu au mitume. Au Mikael?.
Jibu ni hapana.

Kwahiyo Bro Lwiva .
Quran imeshushwa na shetan.
Aliyemtokea Mtume pangoni ni Shetan.
Hakuna shaka kwenye hili.

Maana shetan ndio adui wa hao wote.
Shetani ni adui.
Quran 2:36
Shetani ni adui aliye wazi.
Quran 2:208
Shetani ni adui aliye dhaahiri.
Quran 36:60
Naona umeandika kwa urefu ili nipotee
Sasa ngoja nikupe stori
Wayahudi walienda kwa Mtume na kumuuliza maswali kadhaa ili kumjaribu lakini Mtume Muhammad aliyajibu maswali yao kwa ufasaha ndipo mwisho wakamuuliza ni malaika gani anakuteremshia wahyi akajibu Jibril wakasema huyo ni adui yetu hivyo sisi hatuwezi kuikubali Qur’an yako
Ndipo wakaambiwa kuwa kama wao ni maadui wa Jibril basi wajue tu kuwa yeye ndo anayeremsha Qur’an na hawezi kubasilishwa
 
madjin yalisilimu na kuupenda Uislamu kuwa huo sasa ndo unamuabudu mola wao. Na toka siku hiyo waislamu wakawa na udugu nayo wa kudumu majini. Wanaswali pamoja na kuoana.
Muda mwingine unatakiwa uwe na hoja na usitangulize chuki mbele
Hebu tuambie ni andiko gani linataja ndoa za watu na majini?
 
Kwani huko Makka hakukuwa na wayahudi?
Soma vizuri haya maandiko
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail👈 HUYO ADUI WA MWENYEZI MUNGU NA ADUI WA KALAIKA NA ADUI WA MITUME WAKE NA ADUI WA MIKAELI 👉Ndiye aliye ITEREMSHA QUR'ANI KWA MTUME WAKE MUHAMMAD
 
Soma vizuri haya maandiko
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail👈 HUYO ADUI WA MWENYEZI MUNGU NA ADUI WA KALAIKA NA ADUI WA MITUME WAKE NA ADUI WA MIKAELI 👉Ndiye aliye ITEREMSHA QUR'ANI KWA MTUME WAKE MUHAMMAD
Naona maandiko umekosa unaamua kupotosha kwa andiko hilo
Ok mimi na wewe sasa tuthibitishe na ni mkweli kati yetu kila mtu alete andiko linalosapoti anachokisema yaani wewe ulete andiko lingine ili kuonyesha kuwa aya hii ilikuwa inamtaja adui wa Jibril kama mteremsha Qur’an na mimi pia nilete andiko kuthibitisha kuwa aya imemtaja Jibril kama mshusha Qur’an
Ili tufunge mjadala
 
Inawezekana hawakuwepo au wakawepo.
Ngoja nikubali. Walikuwepo.
Sasa je Wayahudi ni adui wa hawa pia👇👇
Halafu mbona kule kwenye ile aya uliyosema kuwa haikumtaja Allah ila Mwenyezi Mungu nikakupa ushahidi mbona umekimbia wakati nataka uniambie nani alikuambia kuwa haijamtaja Allah 🤣🤣
 
Ndiyo wayahudi ni maadui wa hao wote

😁😁😁😁😁
Sasa haya tuseme Wayahudi ni adui wa Jibril, Mwenyezi Mungu, Mikael na mitume woote.

Je yeye ndio alishusha Quran.?
Maana adui hapa ndio kashusha Quran.

"
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani

😂😂😂😂😂

Huon hata uiwekeje.
Huiwez kukaa sawa.
Kwenye hili kubalini tu kama mnavyokubali kuwa majini ni Waislam
 
Jibu swali au ukae kimya.

Shetani ni Muislam?.

Kabla ya kujibu. Soma
Quran 18:50
"Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."

Msisitizo weka hapo waliposema "YEYE ALIKUWA MIONGONI MWA MAJINI".

Huko nyuma tumeona majini yamesomewa Quran ya yakawa Waislam.
Qur'an si kama vitabu vya tamthilia ya kuwa kwa kila msomaji atatoka kwa namna alivyoelewa kulingana na uelewa wake. Kwenye Qur'an au kwenye hadithi hakuna "mimi ninavyoona" hiyo hakuna. Ni lazima utoke na makusudio husika kwa kila aya husika. Kwa kututahadharisha Mtume akatuambia: "Yeyote atakayetumia rai (yake) kwenye kitabu cha Mwenyezi Mungu, mapema makazi yake ajiandalie motoni". Kwa sababu ukitafsiri wewe utakuwa unafanya mzaha!

Na kwenye Qur'an Mwenyezi Mungu alishahukumu ya kwamba; kuna watu duniani wanajiona wanafanya mema kumbe kwa Mungu hawana lolote. Kwa sababu wao aya za Mungu na Mitume yake walichukulia mzahamzaha.

Ili usifanye mzaha inakubidi urudi kwa wanawazuoni wenye isnad iliyothabiti ambao wanafahamika, wao ndiyo wakufahamishe hiyo aya ina maana gani! Na vitabu vyao vya tafsiri vipo! Ukitafsiri wewe unafanya mzaha!

Maadamu unauhukumu uislamu inakubidi urudi katika misingi ya uislamu ya namna ya kuielewa aya husika unaielewa kwa namna gani ? Uislamu unasema Qur'an inatafsiriwa kwa nyezo tatu:

1) Qur'an bi Qur'an
2)Qur'an bi Sunna
3)Qur'an bi Swahaba

Tuambie wewe umetafsiri kwa namna gani?
----------------------------

Halafu tukusaidie: Jini si jina la kiumbe mmoja. Jini ni neno la uainishaji linalomaanisha viumbe hai kwenye kundi wenye sifa zinazofanana. Hawa viumbe hai kwa ujumla ndiyo wanaitwa jini/majini.

Ili urudi uelewe aliyekusudiwa ni jini yupi inakubidi urudi kwenye tafsiri na wala siyo ulichoelewa wewe.
 
😁😁😁😁😁
Sasa haya tuseme Wayahudi ni adui wa Jibril, Mwenyezi Mungu, Mikael na mitume woote.

Je yeye ndio alishusha Quran.?
Maana adui hapa ndio kashusha Quran.

"

😂😂😂😂😂

Huon hata uiwekeje.
Huiwez kukaa sawa.
Kwenye hili kubalini tu kama mnavyokubali kuwa majini ni Waislam
Jibril ndo ameshusha Qur’an na maandiko mengi yapo wazi tu
 
Halafu mbona kule kwenye ile aya uliyosema kuwa haikumtaja Allah ila Mwenyezi Mungu nikakupa ushahidi mbona umekimbia wakati nataka uniambie nani alikuambia kuwa haijamtaja Allah 🤣🤣

Kule nimekuonyesha kuwa neno allah na neno mwemyezi Mungu lilivyoandikwa kwa kiarabu.

Achana na Tafsiri.
Tuseme kama ilivyo kiarabu.
Hakuna Allah pale ila kuna mwenyezi Mungu
 
Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
UNACHEKESHA SANA KIJANA, UNADHANI SHETANI NI SAWA NA BABA YAKO WA TANDALE

WANADAMU WOTE TANGU WA KWANZA KWAKE NI SAWA NA KUKU AU MENDE
BINADAMU UMETOKA TUMBO LA MAMA YAKO YEYE HAKUZALIWA KAMA WEWE

KWANZA KWA UMRI NA CHEO HAKUNA KUKU AU MENDE YEYOTE BINADAMU ANAYEMFIKIA

MUWE NA ADABU NA MKUNE MAKALIO YENU YANAYOWASHA NA KUPELEKEA KUMZUNGUMZIA SHETANI KANA KWAMBA MNAMZUNGUMZIA BIBI YENU KIZEE

KATI YA MUHAMMAD NA SHETANI NI YUPI ALIYETOKA KWENYE TUMBO LA MAMA YAKE NA ALIYEKUFA???
 
Mi nashangaaga sana,.
Muhamadi alivyotoka kule pangoni na kuulizwa na mkewe nini kimekutokea huko, mbona hali yako imebadilika kama umepigwa vile..

Muhamadi akajibu
"Nahisi kuzugwa na kuchezewa nafsi yangu naashetani"

Mkewe amamwambia "usiseme hivyo, huyo aliyekutokea pangoni ni Malaika Jibrili na kiandae kuwa mtume"

Hapo Waislamu mnamwamini Muhamadi mwenyewe au mkewe ambaye hakuwepo kule pangoni ?

Je mna aya yoyote inayo sema Muhamadi alitokewa na Malaika kule pangoni?

Yaani hakuna hata kujitambulisha ni kushusha kipondo tu

Nani aliye waambia kuwa kule pangoni Muahamadi alitokewa na Malaika
Wekeni Aya hapa tuisome
 
Kule nimekuonyesha kuwa neno allah na neno mwemyezi Mungu lilivyoandikwa kwa kiarabu.

Achana na Tafsiri.
Tuseme kama ilivyo kiarabu.
Hakuna Allah pale ila kuna mwenyezi Mungu
Nitajie neno lililotajwa pale lenye maana ya Mwenyezi Mungu halafu na mimi nikuonyeshe neno Allah 🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom