Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Una andiko gani linalothibitisha kuwa shetani ndo alimtokea Mtume Muhammad pangoni 🤣
Huyo hana haja ya kuelewa, bali ana haja ya kuuficha ukweli.

Kiistilahi/Kisheria kwa kuwa anauficha ukweli huyo ni kafiri.

Atakupotezea muda huyo ndugu yangu.
 
Nimeonyesha tofaut ya allah na mwenyezi Mungu.

Ww ukasema lile neno ni allah na sio Mungu.

Screenshot lile neno tena.
Screen shot arabic ya allah
Screen shot arabic ya Mungu.

Utaona pale neno la kiarabu lililoandikwa ni Mungu na sio allah
Screenshot_20250831_125359_WhatsAppBusiness.jpg

Hilo neno nililolizungushia kijani ndio Allah
Ok kazi kwako nionyeshe neno mwenyezi Mungu
 
Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

ā€œTangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.ā€

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Ni kawaida binadamu kumsilimisha binadamu mwenzake na shetani kumsilimisha shetani mwenzake. Walisilimishana.
 
Ipo wazi uislamu ni dini ya shetani,na Allah ndo shetani/ibilisi na ndiye Mungu wao sio huyu tunamjua,Allah ndo Shetani au Ibilisi
 
Screenshot symbol ya allah.
Then fananisha na hiyo.

Zingatia vikofia vitatu juu kwenye symbol ya neno allah na hiyo ya hapo.
Then screenshot symbol ya Mungu.
Alaf fananisha na hiyo ya hapo.

Neno Mungu ndio utakuta liko sawa na hiyo na neno allah linakuwa limeongezewa vikofia vitatu juu.

Kwahiyo hapo alikuwa anamaanisha Mungu na sio allah.

Fanya hayo ili uhitimishe hili.
 
Katika uislamu kuna mitume 124,000

Katika hiyo mitume kuna mitume mitano inayoutwa Ulul Azm. Yaani ni heavyweight.

Nao ni
1)Nuh A.S
2)Ibrahim A.S
3)Musa A.S
4)Issa mwana wa Mariam A.S
5)Muhammad s.a.w

Nguzo za imani ni 6 katika uislamu. Nguzo ya 4 ni kuamini mitume ya Allah ambaye miongoni mwake ni masihi Issa mwana wa Mariam. Ninamwaamini Issa mwana wa Mariam kuwa ni mtume wa Mungu.

Wewe ni Kafir! Na imethibiti kwako wewe ni Kafir.
Hivi wewe ni mzima kichwani mudi siyo mtume wa Mwenyezi mungu kamwe
 
Screenshot symbol ya allah.
Then fananisha na hiyo.

Zingatia vikofia vitatu juu kwenye symbol ya neno allah na hiyo ya hapo.
Then screenshot symbol ya Mungu.
Alaf fananisha na hiyo ya hapo.

Neno Mungu ndio utakuta liko sawa na hiyo na neno allah linakuwa limeongezewa vikofia vitatu juu.

Kwahiyo hapo alikuwa anamaanisha Mungu na sio allah.

Fanya hayo ili uhitimishe hili.
Ona hapo mwenyewe
Allah-name-in-Books-655x1024.jpg
 
Huyo hana haja ya kuelewa, bali ana haja ya kuuficha ukweli.

Kiistilahi/Kisheria kwa kuwa anauficha ukweli huyo ni kafiri.

Atakupotezea muda huyo ndugu yangu.
Weye ndiyo shekh gani vile jitambulishe wenzako walio jiita mashekh wananijua ...kama ni shekh jitambulishe nawataka sana hao wapuuzi niwaonyeshe Dini ni nini .....wapo wapi shekh shafii shekh mazinge ...mmejificha wapi😁😁
 
Huyo hana haja ya kuelewa, bali ana haja ya kuuficha ukweli.

Kiistilahi/Kisheria kwa kuwa anauficha ukweli huyo ni kafiri.

Atakupotezea muda huyo ndugu yangu.
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail
 
Una andiko gani linalothibitisha kuwa shetani ndo alimtokea Mtume Muhammad pangoni 🤣
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail
 
Siyo shetani ndo alimsilimisha Muddy šŸ¤”, by the way kumbe shetani ni muislam 🤣🤣🤣🤣 ndo maana mdudu hawafai, maana yule mdudu ni kiboko ya mashetani

Huyu aliyebebwa na shetani yeye ni nani ??

1756637902362.jpeg
 
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail
Hapo aliyetajwa kuwa anateremsha Qur’an ni Jibril na hilo ni kama tangazo kwa maadui zake
 
Eti wakristo na Wayahudi watakao mwamini Allah:

Nani aliwaambia tunamwamini Allah:
Mungu wetu alisha jitambulisha mara nyingi na tunamtambua na aliabudiwa na Manabii wa kabla ya Uislamu:

Uislamu unalazimisha tumwamini Allah, Muhamadi na Qurani:

Sisi tuna Mungu, Kitabu na Manabii wetu na tunawajua kabla ya Qurani, Muhamadi, Uislamu na huyo Allah:

Hatuwezi kuabudu pamoja na Majini sisi:
Yakiingia kanisani tuyakemea kwa nguvu zote ya mtoke walio mpagawisha:

Toka enzi haijawahi kutokea Jini akasema ni mwema na wala kusema anamsaidia mtu kufanya mema au kumstawisha kimapato bila kumkufurisha kwa Mungu wake:
 
Kwani kule umemaliza 🤣

Bro. Sim yangu button ya chin ya kupunguza saut haifanyi kazi. Siwez screenshot.
Ningekuonyesha tofauti na neno Allah na Mungu..

Allah ina vikofia vitatu juu na Mungu haina.
Najua ushaliona hilo.
Hebu kuwa serious na fanya hivi.
Leta hapa screenshot 2.
Ya allah na ya Mungu in arabic.

Alaf uangalie lipi liko kwenye ule mstari.
Nimeshaangalia hili toka siku ile na nikagundua na ndio maana nikatka hoja.

Huwa siwez toa hoja kitu ambacho sijahakikisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom