mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,333
- 57,147
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda”Nishaelezea au hujaona?.
Yakobo hajawah pigana vita na mtu yoyote,. Kwanini ikaandikwa amepigana na binadam na akawashinda?.
Nijibu hili
UMESHINDANA NA MUNGU NA WATU NAWE UMESHINDA.
Ndugu yangu kusoma haujui hata picha?
Wapiii aya inasema yakobo alipigana na malaika na sio Mungu?