Haujui yakobo alimpiga vipi Mungu?
Malizia mstar wa 29.
"Mwanzo 32:29
[29]Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko."
-Kwanini Yakobo alitaka kujua jina la aliyekuwa ana pigana nae?.
-Kwanini aliyepigana nae akasema "umepigana na Mungu na mwanadamu na ukashinda"?
-Kwanini Binadamu amehusishwa hapo wakat tunaona hakukuwa na mtu mwingine zaid ya hao wawili tu?.
(Kwamba Yakobo kapigana na Binadamu wote na kuwashinda?)
Yakobo alipigana na Malaika wa Mungu. Na sio Mungu.
Malaika ambaye alitumwa na Mungu.
Zingatia hapa
👉👉Yakobo alikuwa ana pigania kutokea kwa jambo ambalo halikuwa Linapaswa kutokea.
Ila alilazimisha na kumuomba Mungu litokee.
Kumbuka alikuwa anajiandaa kupigana na Esau. (Kaka yake)
Na Yakobo aliona vita atashindwa.
Isaka aliwazaa Esau (mtoto wa kwanza )na Yakobo.
Yakobo alijifanya ni Esau na kuiba baraka za kaka yake.
Kwasababu aliyekuwa anatakiwa kubarikiwa ni Esau.
Kwahiyo Yakobo alilazimisha kubarikiwa na baba yake (akafanikiwa) na pia alilazimisha Mungu ambariki yeye kama ambavyo Mungu aliahidi kwa babu yake Ibrahim(na akafanikiwa)
Ndio maana ya huu mstari kuwa
"Umepigana vita na Mungu na binadamu na ukawashinda".
Na sio kama Alipigana vita.
Hapana sio vita .
Alikuwa anapigania Kubarikiwa.