Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Kumbe shetani ni mwislamu. Aisee. Ndio maana ana tabia mbaya sana.
 
NENO WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI AU WAYAHUDI NDIVYO ILIVYO HAKUNA KOSA IKA NENO SAHIHI HAPO NI WOKOVU UNATOKA KWA WAISRAELI (NENO UYAHUDI CHIMBUKO LAKE NI UHASI KWA MUNGU (KIBURI ,MAJIVUNO ,UKAIDI )NK ...hivyo hapo lugha sahihi ni WOKOVU unatoka kwa WAISRAELI siyo wayahudi kwa sababu uyahudi ni itikadi ya kibaguzi baina ya Waisraeli wao kwa wao ...kumbuka biblia imechezewa sana na waandishi ...Ukitumia Logic na akili utajua hakukuwa na sababu kutumika hii sentence 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAYAHUDI BADALA YA 👉WOKOVU UTATOKA KWA WAISRAELI
YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

WEWE UNASAMA SIO NENO SAHIHI

HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?

KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
 
mjingamimi umepata upenyo umelala mbele au sio ?

KWA HOJA HIYO TU INATOSHA KUKUONESHA UISLAMU NI DINI YA KUOKOTEZA,

ONA HAMJUI MAANA YA NENO ZABURI, ISRAEL ,INJILI ,N.K

HAMJUI MSINGI WA HAYO MANENO
Israel ni Jina la nabii yakobo aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.
 
YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

WEWE UNASAMA SIO NENO SAHIHI

HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?

KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
Utaelimishwa mara ngapi uelewe?
Hauwezi kuwa myahudi mpaka uwe uzao wa yuda.
Ndo maana Musa aliyepewa torati ni muisrael lakini si myahudi yeye ametokana na kizazi cha LAWI.
Wayahudi wakaanzisha dini yqo na kupora taurati kufanya kuwa ndo kitabu Chao.
 
Alaf kabla ya hayo yote.
Hapa Shetan anaishusha Quran kwa makobaz na majini.

Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri."
Alie kuwa anawauwa wanafunzi wa yesu na kumiminwa sasa ndio mtume wako lakini hujui alikuwa anamiminwa na wanaume wangapi
 
Utaelimishwa mara ngapi uelewe?
Hauwezi kuwa myahudi mpaka uwe uzao wa yuda.
Ndo maana Musa aliyepewa torati ni muisrael lakini si myahudi yeye ametokana na kizazi cha LAWI.
Wayahudi wakaanzisha dini yqo na kupora taurati kufanya kuwa ndo kitabu Chao.
Mimi siongei bila ushahidi wa maandiko kama nyie

Musa ni myahudi ,watoto wote wa Yakobo au Israel waliitwa Wayahudi

Ushahidi nakupa maandiko

Ezra 4:12
"Na liwe wazi kwa mfalme, ya kwamba Wayahudi waliokwea kwetu, kutoka kwako, wamefika Yerusalemu; wanajenga tena mji huu wa uasi, tena mbaya, na wanakamilisha kuta zake, na kuondoa misingi yake."

Hapa Ezra anawaita wote Wayahudi, hata kama walikuwa wa makabila tofauti, kwa sababu waliokuwa wakirudi walihesabiwa kama taifa moja.

Ezra 5:1
"Ndipo manabii Hagai nabii, na Zekaria mwana wa Ido, wakatabiri kwa Wayahudi waliokuwako katika Yuda na Yerusalemu, kwa jina la Mungu wa Israeli aliyekuwa juu yao."

NAOMBA MAANA YA NENO ISREL,ZABURI, KWA MUJIBU WA UISLAMU KAMA KWELI NI DINI YA HAKI
 
Ndio aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.
Kwahiyo Israel kwa mujibu wa Quran maana yake hiyo?unaitoa wapi😂

Usijibu kwa hasira ,nataka ujue Quran na uislamu ni DINI YA MCHONGO
 
Alie kuwa anawauwa wanafunzi wa yesu na kumiminwa sasa ndio mtume wako lakini hujui alikuwa anamiminwa na wanaume wangapi
Acha porojo ,mwenzako kaweka maandiko wewe unaleta porojo kuharibu mjadala
 
Ndio aliyemtandika mangumi Mungu wenu mpaka akakimbia.
NADHANI SASA MWISHO WA SIKU UMEJUA UISLAMU NI DINI YA MCHONGO

Na Quran ni kitabu kimejaa VITUKO na kimeiba mambo ya watu

Wakristo na Wayahudi wanajua maana ya Zaburi na Israeli, kwa sababu ni sehemu ya maandiko yao ya asili. Waislamu wanayatamka tu, lakini hawajui mizizi yake, maana Qur’an haikuyafafanua maana IMEPORA NA KUIBA
 
Kwahiyo Israel kwa mujibu wa Quran maana yake hiyo?unaitoa wapi😂

Usijibu kwa hasira ,nataka ujue Quran na uislamu ni DINI YA MCHONGO
Na nilishakuuliza hivi Kwa akili yako Mungu anaweza akapigana na binadamu?
Hivi Kwa akili yako Quran unaweza kuandika maandiko kwamba maana ya israel ni "ALIYEPIGANA NA MUNGU AKASHINDA"?
EBU TUMIA AKILI KIDOGO
 
NADHANI SASA MWISHO WA SIKU UMEJUA UISLAMU NI DINI YA MCHONGO

Na Quran ni kitabu kimejaa VITUKO na kimeiba mambo ya watu

Wakristo na Wayahudi wanajua maana ya Zaburi na Israeli, kwa sababu ni sehemu ya maandiko yao ya asili. Waislamu wanayatamka tu, lakini hawajui mizizi yake, maana Qur’an haikuyafafanua maana IMEPORA NA KUIBA
Quran haiandiki NGONJERA KAMA BIBLIA.
Binadamu anapiganaje na Mungu?
 
Quran haiandiki NGONJERA KAMA BIBLIA.
Binadamu anapiganaje na Mungu?
Haya nipe maana ya Neno ISRAEL kwa mujibu wa Quran

Ukinipa Leo nakuwa muislamu na nitaenda mecca kubusu jiwe jeusi
 
Na nilishakuuliza hivi Kwa akili yako Mungu anaweza akapigana na binadamu?
Hivi Kwa akili yako Quran unaweza kuandika maandiko kwamba maana ya israel ni "ALIYEPIGANA NA MUNGU AKASHINDA"?
EBU TUMIA AKILI KIDOGO
Sawa nimekubali, basi leta maana ya ISRAEL kwa mujibu wa Quran kitabu kisicho na shaka

Au hilo NENO kwenye Quran lipo tu bila maana yoyote

Au mudy alikuwa anaiba maneno bila kujua misingi yake
 
Sawa nimekubali, basi leta maana ya ISRAEL kwa mujibu wa Quran kitabu kisicho na shaka

Au hilo NENO kwenye Quran lipo tu bila maana yoyote

Au mudy alikuwa anaiba maneno bila kujua misingi yake
Ewaaa!sasa Quran haijatoa tafsir ya Jina Israel.
Ila Kwa mujibu wa wanazuoni wa kiislam wametafsri kama "MJA WA MWENYEZI MUNGU"
ALAFU Quran SIO kama kamusi.yaani imtaje Muhammad alafu ianze Muhammad maana yake hivi hivi na hivi HAPANAAA Quran haipo hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom