Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,558
- 31,966
- Thread starter
- #661
Mkuu uko tayari kuyaoga matusi yao hapa?
Mi nina ngozi ngumu. Nlikuwa kama wao zamani.
Mkuu uko tayari kuyaoga matusi yao hapa?
Mbona weeeeewooooKwahiyo shetani ni mwisilam?
Sawa kuna mhubiri wa kikristo alisema mumewe alijaza jiko la gesi kwa mdomo na pia akasema ni bora mwanaume akazini kuliko kulalaUsibishie wataalamu wa dini na dini yenyewe na muhamd
Hawa wana elimu kubwa sana ya dini uwaheshimu wewe dogo. Unamfaham sheikh shariff majini?
Hata kini Pastor Tony wana elimu kubwa ya diniHawa wana elimu kubwa sana ya dini uwaheshimu wewe dogo. Unamfaham sheikh shariff majini?
Eti eeeeeh?mi hata sijui sheikh wanguHata kini Pastor Tony wana elimu kubwa ya dini
Hata mimi sijui kama hao kina sule wana elimu ndio kwanza nakusikia weweEti eeeeeh?mi hata sijui sheikh wangu
Bila ya uzushi na mapicha ukristo ni Zero
HAWA WAMEPISHANA KIDOGO NA MUDDY AMBAYE ALIMWACHISHA MTOTO AISHA AMUOE.
HAWA WAMEPISHANA KIDOGO NA MUDDY AMBAYE ALIMWACHISHA MTOTO AISHA AMUOE.
Kwamba majini ni ndugu zenu 🤣🤣🤣🤣🤣Sahihi kabisa nashindwa kuelewa akili za wakristo zilivyo kinyume nyume wanakataa ndoa za wake wengi wanafungisha za jinsia moja, wanashangaa majini kuamini quran but wanakubari kupuliziwa gas, na kuuziwa mchanga
Hii mpya!Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Hii mpya!
Kwa hiyo shetwain ni mwislamu?