Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Mkutano unaendelea everything iz perfect... Pipo kutoka kilakona wamejongea,hawajali mvua wala nini..those above who thinks "ni upepo tu" they should think again..its a movement, pepoles movement! Wameitwa wabunge wote wa mtwara wa vyama vyote,waje wapokee maoni ya wananchi na wawe wawakilishi kwa mujibu wa kazi yao...asiyefika si mbunge wa mtwara kuanzia leo hii!

Hao wabunge wa magamba watakuja kweli? Yule mbunge wa mtwara mjini aliyejitoa mhanga bado ana msimamo ule ule wa kusimama na wanamtwara hadi kieleweke?
 
Vasco da gama atajua sasa kuwa watu tumefika mwisho.jamani mbona silaha zipo.kila mtu achukue silaha yake [iwe gobore,pisto,kisu,mkuki,na mnakumbuka kuwa kuna silaha nyingi zinatoka kwa akina renamo [msumbuji]tufuatilieni mwisho umefika sasa tuone nani zaidi.tumesimama na kusema imeshindikana basi.tuwaonyeshe hawa mafisadi.na mikoa mingine itajifunza kutoka kwetu.
 
Katika maisha usifikilie ya jana jikite na ya leo wanamtwara msichoke leo yenu ndiyo kesho yenu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yanayotokea Mtwara na sehemu nyingine kama Nyamongo kwenye madini ni matokeo ya kukata tamaa kwa wananchi dhidi ya serikali. Wananchi hawana matumaini tena na uongozi. Watz wengi hasa vijana walikuwa na matumaini makubwa sana na Kikwete alipochukua madaraka mwaka 2005 lakini baada ya kuona hakuna mabadiliko katika maisha yao kwa miaka 5 watu wamekosa matumaini. Kwa hiyo sasa kila mtu anaona ni bora ang'ang'anie rasilimali iliyo karibu nae. Sitoshangaa vuguvugu likianza kule kanda ya Ziwa kwenye madini!! hayo ni matokeo ya wananchi kukosa imani na viongozi wao wa juu!!
 
Yatatimia mtu hawezi kuzaliwa akiwa muoga akakuwa aendelee na uoga ipo siku akipata akili atadai haki yake na mtu muoga ufa mara mmoja lakini mtu jasiri ufa kwa ujasiri wake ....yametimia yalipatwa kusema na wanazuoni mashuuri kama prof seith chachage ,prof haroub othman na wengineo wengi ikiwepo yoweri kagutha museveni alipokoswa kuuwawa na mabomu nje ya ukumbe wa bunge la uganda mwaka 1971 ... Na baadae akaingia msituni kuikomboa nchi yake
wana mtwara wamefunguka wapate haki yao mapamabano yaendelee
hii si sawa hata kidogo.

Maskini akikosa chakula, atamla tajiri. Ccm kaeni vyema na wananchi, tofauti na hapo jipakeni tu pilipili they are coming for you.
 
Kwa Habari za uhakika miongoni wawlioonja shubiri ya mabomu ya machozi ni Naibu katibu mkuu CUF Julius Mtatiro.Hivi sasa mabomu yametulia na mkutano unaendelea na Mtatiro yuko jukwaani akihutubia mtatiro.jpg
 
The reaching point, for where we are now. In here Stone Age Time.
is a very mean for the President who sworn to explicative is population
and turn to be a Dictator, (Regime.)
for using is competence to defend the plan to plunder, our country wealth
material. And understand that the force which you are always using against
the population is unlawfully. At end will be worst to you due process against
human rights, the right and good Government is always hark for what the
population needy. Remember you are there to serve the nation and not
individual.
The majority of African leaders are of that nature. Once they're democratically elected, they turn to be dictators. Instead of serving for the interests of the public, they turn to be selfish. Our government should make sure that it abides by the law and promotes even development throughout the country. Southern regions should be considered like all other regions!
 
Rasilimali za taifa ni kwa ajili ya manufaa ya taifa zima. Kusema GESI HAITOKI MTWARA ni ubinafsi uliopitiliza. Hakuna justification yoyote inayoweza kuhalalisha hilo.
Mkuu kuna wahuni wana potosha madai ya msingi ya wana mtwara...siyo kweli kwamba wamesema gesi haitoki Mtwara bali wanataka kujua watanufaikaje na gesi hiyo, madai ambayo hata shinyanga, mwanza, mara na kwingineko yana wahusu sana kwani ukiangalia shinyanga iko nyuma sana lakini angalia miaka ya nyuma serikali ilikuwa inategemea pamba kwa wingi kutoka huko pamoja na dhahabu na alamsi...Mimi siyo mtu wa mtwara lakini nawaunga mkono wana mtwara ili iwefundisho kwa wasukuma wenzangu ambao bado wamelala wahuni wa ccm wanajichotea mali na kusepa....
 
Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Ukishaianza huwezi kuiacha. Itakutafuna milele. Natamani iwapate ili iwe funzo kwa watu/regions zenye vision kama hii.
 
Dingswayo, Unafuraaaaahi,kama vila unangojea picha za Van Dame na Rambo sio? Hizo ni picha za watanzania wakijeruhiwa na pengine nao kujeruhi au kuua na kuuana sio sinema! huo ushabiki wenu unaponza wananchi. Na usifikiri wanaokaa kusini wote ni wamakonde usisahau hilo watakapowaona watu wasio wa Kusini ni kikwazo watawashambulia nini kitafuatia?

Mawazo yako yana sumu kali sana!

Kumbuka kuwa matatizo ya Mtwara si ya wamakonde tu bali wakazi wote bila kujali dini na makabila yao! Wafanyakazi wa serikali na mashirika mbalimbali wanashindwa kuwa na maisha bora sawa na wamakonde wa Mtwara, hivyo vita hii ni ya wakazi wote!
 
Yanayotokea Mtwara na sehemu nyingine kama Nyamongo kwenye madini ni matokeo ya kukata tamaa kwa wananchi dhidi ya serikali. Wananchi hawana matumaini tena na uongozi. Watz wengi hasa vijana walikuwa na matumaini makubwa sana na Kikwete alipochukua madaraka mwaka 2005 lakini baada ya kuona hakuna mabadiliko katika maisha yao kwa miaka 5 watu wamekosa matumaini. Kwa hiyo sasa kila mtu anaona ni bora ang'ang'anie rasilimali iliyo karibu nae. Sitoshangaa vuguvugu likianza kule kanda ya Ziwa kwenye madini!! hayo ni matokeo ya wananchi kukosa imani na viongozi wao wa juu!!
Huko ndiyo nitahamia kabisa maana wametufaidi sana hawa magamba lakini maisha ya watu wa huko du...
 
Ben Saanane; Nakwambia ya kwamba kwa hili la wazawa kupigwa na serikali ikatulia Mi nakwambia ya kwamba hili la gas italipeleka serikali tawala pabaya!

Nguvu hizi zinazotumika ni kiashirio cha ukomo wa kufikiri.Mjadala wa Gesi au Rslimali za taifa kwa ujumla hauwezi kuzimwa kwa nguvu.Dikteta Dhalimu Wa Nigeria General Sani abacha alitumia Nguvu nyingi kuwanyamazisha Akina Ken Saro Wiwa kule Niger Delta akishirikiana na makampuni ya kibepari ya Shelly,CHEVRON,BP n.k katika kuhujumu raslimali ya Mafuta dhidi ya watu wa Ogun lakini mwisho wake haki ilishinda na yeye alikufa vibaya.

Hapa Tanzania watawala wanatuelekeza kufuata njia ya Ken,Daima tutashinda!
 
Last edited by a moderator:
Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Ukishaianza huwezi kuiacha. Itakutafuna milele. Natamani iwapate ili iwe funzo kwa watu/regions zenye vision kama hii.
Mdau katika hili hakuna dhambi yoyote itakayomkamata mtu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Polisi onyesheni ujuzi wenu.Wajue kweli nyie ni jeshi.Hata mabomu ya vita ruksa kutumia dhidi ya hao wamalawi walioingia mtwara
kwel jf kuna vichwa tofauti.,uyu nae anashabikia polis,kaz kwelkwel
 
Serikali ikubali kukaa mezani na wanamtwara,mabavu siyo suluhu ila ni kuwakomaza wananchi wazoee mabomu na vichapo.
 
Mawazo yako yana sumu kali sana!

Kumbuka kuwa matatizo ya Mtwara si ya wamakonde tu bali wakazi wote bila kujali dini na makabila yao! Wafanyakazi wa serikali na mashirika mbalimbali wanashindwa kuwa na maisha bora sawa na wamakonde wa Mtwara, hivyo vita hii ni ya wakazi wote!

Pamoja sana mkuu
 
Mkuu kuna wahuni wana potosha madai ya msingi ya wana mtwara...siyo kweli kwamba wamesema gesi haitoki Mtwara bali wanataka kujua watanufaikaje na gesi hiyo, madai ambayo hata shinyanga, mwanza, mara na kwingineko yana wahusu sana kwani ukiangalia shinyanga iko nyuma sana lakini angalia miaka ya nyuma serikali ilikuwa inategemea pamba kwa wingi kutoka huko pamoja na dhahabu na alamsi...Mimi siyo mtu wa mtwara lakini nawaunga mkono wana mtwara ili iwefundisho kwa wasukuma wenzangu ambao bado wamelala wahuni wa ccm wanajichotea mali na kusepa....

Wasukuma bana, wameikimbia dhahabu wamekwenda kilombero kufuga na kulima mpunga.
 
Dingswayo, mimi niko huku mtwara na ninabiashara zangu huku na mi si mzaliwa wa huku, ki ukweli hili si jambo la kufurahia! Tangu mtiti wa gesi uanze biashara zangu haziendi! watu wameshajaa mashaka na kutoaminiana! Je nini kitafuata? Ngoja kwanza nifunge ofisi ntarudi baadae!

Hayo ndio yanayoendana na harakati za kutafuta haki. Haki ikishapatikana biashara yako itakua mpaka utashangaa.
 
Back
Top Bottom