gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
Poleni sana wakazi wa Mtwara..
Hali mijini hapa ni tete! Mabomu yanarindima mjini hapa kuwatawanya wananchi wanaojiandaa na mkutano mkubwa unaotarajiwa kufanyika mjini hapa kuhusu suala zima la gesi.
Chanzo cha mabomu hayo kupingwa ni baada ya umeme kukatika/kukatwa eneo panapotarajiwa kufanyika mkutano huo uwanja wa mashujaa mjini hapa na baada ya kuona hivyo wananchi wakaamua kuandamana kuelekea Tanesco kujua chanzo cha tatizo hilo la umeme na hali hiyo kupelekea polisi kuanza kuvurumisha mabomu ya machozi.
Ifahamike kwamba kumekuwa na mvua kubwa mjini hapa toka usiku wa leo ambayo inaweza ikawa chanzo cha kukatika kwa umeme huo (huu ni mtazamo wangu) ingawa inaweza ikawa hujuma pia.
Eneo nilipo umeme upo hali hii ya sintofahamu imepelekea huduma muhimu za kijamii kama maduka na soko kufungwa.
Yanayotokea Mtwara na sehemu nyingine kama Nyamongo kwenye madini ni matokeo ya kukata tamaa kwa wananchi dhidi ya serikali. Wananchi hawana matumaini tena na uongozi. Watz wengi hasa vijana walikuwa na matumaini makubwa sana na Kikwete alipochukua madaraka mwaka 2005 lakini baada ya kuona hakuna mabadiliko katika maisha yao kwa miaka 5 watu wamekosa matumaini. Kwa hiyo sasa kila mtu anaona ni bora ang'ang'anie rasilimali iliyo karibu nae. Sitoshangaa vuguvugu likianza kule kanda ya Ziwa kwenye madini!! hayo ni matokeo ya wananchi kukosa imani na viongozi wao wa juu!!
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?
kwahiyo unataka gas ianze
kuchimbwa na kusafirishwa kwa hiyo mikataba ya siri na ya kifisadi,huku
wenzetu wa Mtwara wakiendelea kuishi maisha ya KIMASIKINI?Shame on
you!
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?
Swala hili si ubaguzi ila CCM ndiyo wanalitengeneza ili ionekane kama ni ubaguzi...Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu. Ukishaianza huwezi kuiacha. Itakutafuna milele. Natamani iwapate ili iwe funzo kwa watu/regions zenye vision kama hii.
Kwa Habari za uhakika miongoni wawlioonja shubiri ya mabomu ya machozi ni Naibu katibu mkuu CUF Julius Mtatiro.Hivi sasa mabomu yametulia na mkutano unaendelea na Mtatiro yuko jukwaani akihutubiaView attachment 80024
Wakishaifanya dhambi hii ya ubaguzi haitaishia hapo, baadaye wataanza kusema mimi ni Muislam na yule ni Mkristo. Wataanza tena kubaguana kwa misingi ya kabila na rangi. Hii dhambi haitawaacha salama kamwe. Historia ni shahidi mzuri wa hili.Mdau katika hili hakuna dhambi yoyote itakayomkamata mtu
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
BBJ, kwani wakiiona hiyo mikataba ndio watawekewa mihela mfukoni? wawajibike sio kukomalia rasilimali ibaki upande mmoja wa nchi ambayo inaweza kunufaisha taifa! Shame on you too!
Mkuu hiyo nimetumiwa meseji kwenye simu nilishindwa kuendeleaJamani tupunguze uongo basi.
wamejifunzia arusha hao mkuu, nakumbuka nilikoswakoswa na bomu pale posta ya meru wakati nakimbia, hahahahahahaUkombozi wa kweli una gharama kubwa.
Msichoke Wanamtwara.
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?
Mkuu mimi siiungi mkono approach yao ila nataka madai yao ya msingi yafanyiwe kazi na serikali. Haya ni matokeo ya serikali ya CCM kuwa kama kenge ambaye huwa hasikii hadi umpige atokwe na damu maskioni.Swala hili si ubaguzi ila CCM ndiyo wanalitengeneza ili ionekane kama ni ubaguzi...
mkuu unamaanisha man..ba..katutoka?Nasikia kule agha kan kimeshanuka tujulisheni mlioko pande hizo ili mkutano unoge.