Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

Matondo ya haki kwa raia ndiyo msingi wa amani

Serikali imegeuka kuwa ya wachache pale juu, na kuwalisha propaganda waliowengi maskini

Sasa waliowengi maskini wanadai haki yao

Mjinga akielevuka mjanja huwa mashakani, ccm ikomashakani.

Kwanza kwanini mikataba iwekwe jambo la siri hapa ndiyo chanzo cha matatizo yote.

Watanzania ndiyo wamiliki, ccm wanageuka kumiliki kila kitu mpaka viwanja vya kuchezea watoto wetu na kufanya mikataba ya

kufirisi mali zetu siri yao. HII haikubaliki kwanini watuzunguuke na kuuza mali zetu kwa kutuficha mikataba?
 
.....Mkutano unaendelea everything iz perfect... Pipo kutoka kilakona wamejongea,hawajali mvua wala nini..those above who thinks "ni upepo tu" they should think again..its a movement, peoples movement! Wameitwa wabunge wote wa mtwara wa vyama vyote,waje wapokee maoni ya wananchi na wawe wawakilishi kwa mujibu wa kazi yao...
asiyefika si mbunge wa mtwara kuanzia leo hii!

...ajiwakilishe bungeni yeye na familia yake...
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nafurahi kuwa Mtwara wameanza kujitambua. Saa ya ukombozi hii hapa
 
Tanzania tumekuwa mstari wa mbele kutatua migogoro ya nchi zingine barani Africa. Hata sasa hivi, tunatumia muda mwingi kutafuta ufumbuzi wa mgogoro DRC. Inakuwaje tunashindwa kutatua kero wa wananchi wa Mtwara?
 
Polisi onyesheni ujuzi wenu.Wajue kweli nyie ni jeshi.Hata mabomu ya vita ruksa kutumia dhidi ya hao wamalawi walioingia mtwara
 
Sasa kiko wapi mmeshaambiea gas siyo yenu nendeni kupalilieni mikorosho yenu jamaanii sasa mnataka mikutano ya kazi gani gas lazima kwanza dar es salaam ulipo serikali Nyie ni baadae sana ,hiyo ni Mali ya watanzania wote Mbona kahawa mlinufaika Kwani mnadhani pesa ya kujenga bara bara Imetokea wapi ni kahawa na pamba jk ni rais msikivu sana sasa upole basi Nyie mnataka kumtisha rais mtachapwa sana na bado kuna Askari wameondoka dar mchana huu. Kuja kuwapa DOZI mnaleta fujo kwa amri jeshi mkuu mnataka gas mpeleke wapi mtwara hakuna biashara yoyote hapo. ,ete gas gas ya kazi gani tumesasema hakuna gas kubaki mtwara basi na tusikie tena fujo
 
Una uhakika na unachokinena mkuu!!?? kama huna kaa kimya
 
ila fujo nyingine watanzania tunajitakia wenyewe sasa kama umene umekatwa si mtumie generator kuna ulazima gani wakwenda tanesco??? FFU Piga hao tena kwa nguvu zote mi nahisi kuna vijisababu kama hivi ndivo vinafanya hata serikali inaoeleka gesi Dar sa kama mnashindwa kufikiria vitu vidogo kwa kutumia generator pale umeme ulipokatika mtafikiria kutunza gesi kweli? haya sasa hizo fujo mtakuwa mmesaidia nini? mtapigwa sana na huenda hata huo mkutano usifanyike mwisho wa siku inakuwa imekula kwenu. Angalia msiheambiwa nyie ni kikindi kidogo tu cha wahuni maana ndo matamko ambayo serikali hutoaga siku zote. Punguzeni jazba gesi ni yetu sote basi kama ni hivo muanze kuandamana kuelekea angani kupinga mvua kunyesha maana inaeza kua chanzo cha umeme besides Tanzania umeme unasumbua sasa kama hadi uwanja wa taifa unakatikaga hapo utashindwa nini kukatika?

Musiwe wavivu wa kufikiri mtaishiwa kupigwa ba serikali mwisho hamna sehemu mtaishtak mtabak mnapiga kelele tu bora kuwa wapole afu mkafanya wonders 2015 maana serikali yetu sio mtanzania anaitawala ni mmarekani sasa kama unaeza mshitaki mshitakiwa wakati yeye ndo hakimu endeleeni

wewe au ni gamba! au unafaidika na ufisadi! au hujasoma! au ulisoma enzi zile za ukoloni ukafunzwa woga au kichwani hamnazo! sio kawaida yangu kumshambulia mtu huwa nashambulia mada ila kwa tendo lako na kuhimiza FFU wapige watu nimeshindwa pa kuanzia ikabidi nivunje mwiko wangu nikushambulie wewe binafsi!
 
Jamajama akifa mtu waheshimiwa mkatoe mihela na iwepo siku ya kumbukumbu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Halafu Dr Dhaifu leo anaondoka anaenda Ufaransa kula bata, na kuyaacha machafuko yanayoendelea anataka akayasikilizie huko Ufaransa, na akitoka huko anaenda uswizi akitoka anaenda Canada.
 
Polisi onyesheni ujuzi wenu.Wajue kweli nyie ni jeshi.Hata mabomu ya vita ruksa kutumia dhidi ya hao wamalawi walioingia mtwara
Wingu limetanda kwenye ubongo wako likitoka utapata akili!!
 
Halafu Dr Dhaifu leo anaondoka anaenda Ufaransa kula bata, na kuyaacha machafuko yanayoendelea anataka akayasikilizie huko Ufaransa, na akitoka huko anaenda uswizi akitoka anaenda Canada.

Kwani Alishawahi kusikiliza na kutolea maamuzi lipi? Yeye awepo asiwepo nchi inasonga tuu! Hakuna rais nchi hii, sijui kwa nn hata jeshi hawampuzishi! au jeshini kumejaa vilaza na watumiaji wa maguvu bila akili otherwise walishamtoa siku nyingi!
 
when did tanzanians police will respect human right??
Tanzania Police only respact human rights to people who think by using 'makalio'...but as long as people start thinking by using their brain..they are treated as 'public enermy'!
 
Back
Top Bottom