Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
JK kaamua kuwapiga mabomu shemeji zake, Membe kama unataka Urais ingilia kati mzozo huu na uumalize kidiplomasia
Wapi THE BIG SHOW? Anzisha uzi utupe updates
Wanamtwara mukiyafanya mabomu perfume basi mutakuwa mumemaliza kazi musiogope nchi hii si ya vigogo na watoto wao yetu wote
Katanga ilifanya secession 1960-1963 ili wafaidike na madini yao ila baadaye mambo yakaenda ndivyo sivyo na majority wakabaki maskini. Mtwara inabidi wa-demand kujengewa barabara, shule, hospital pamoja na huduma zingine za muhimu ila sio kusema eti gesi isitoke Mtwara. Approach yao ni ya hovyo kabisa!
wewe au ni gamba! au unafaidika na ufisadi! au hujasoma! au ulisoma enzi zile za ukoloni ukafunzwa woga au kichwani hamnazo! sio kawaida yangu kumshambulia mtu huwa nashambulia mada ila kwa tendo lako na kuhimiza FFU wapige watu nimeshindwa pa kuanzia ikabidi nivunje mwiko wangu nikushambulie wewe binafsi!
kwahiyo unataka gas ianze kuchimbwa na kusafirishwa kwa hiyo mikataba ya siri na ya kifisadi,huku wenzetu wa Mtwara wakiendelea kuishi maisha ya KIMASIKINI?Shame on you!Dingswayo, Unafuraaaaahi,kama vila unangojea picha za Van Dame na Rambo sio? Hizo ni picha za watanzania wakijeruhiwa na pengine nao kujeruhi au kuua na kuuana sio sinema! huo ushabiki wenu unaponza wananchi. Na usifikiri wanaokaa kusini wote ni wamakonde usisahau hilo watakapowaona watu wasio wa Kusini ni kikwazo watawashambulia nini kitafuatia?
Jamani tuko hapa tunakimbizana tunashindwa kuleta taarifa simu yangu
tayari imepasuka kioo, hali si nzuri. Laptop inakaribia kuisha chaji.
Hao ni wabaguzi, hawawezi kutia neno kwasababu gesi si ya kaskazini.
Halafu, mbona wanaojiita wapigania demokrasia akina Shonza, Tuntemeke, Benazir, Taswira, Habibu Mchange na wenzao hawatii neno hapa? Ama demokrasia wanayoipigania ni demokrasia ya namna gani?
Poleni Wanamtwara, serikali hii sikivu kwa kushirikiana na wapigania demokrasia itawasikiiza na kila kitu kitakuwa Mswano.
Angalia lugha yako kiongozi..sii kiswahili kizuri hata
.....Mkutano unaendelea everything iz perfect... Pipo kutoka kilakona wamejongea,hawajali mvua wala nini..those above who thinks "ni upepo tu" they should think again..its a movement, peoples movement! Wameitwa wabunge wote wa mtwara wa vyama vyote,waje wapokee maoni ya wananchi na wawe wawakilishi kwa mujibu wa kazi yao...asiyefika si mbunge wa mtwara kuanzia leo hii!
...ajiwakilishe bungeni yeye na familia yake...
when did tanzanians police will respect human right??
Katanga ilifanya secession 1960-1963 ili wafaidike na madini yao ila baadaye mambo yakaenda ndivyo sivyo na majority wakabaki maskini. Mtwara inabidi wa-demand kujengewa barabara, shule, hospital pamoja na huduma zingine za muhimu ila sio kusema eti gesi isitoke Mtwara. Approach yao ni ya hovyo kabisa!