Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Hawa wananchi walioamua kuandamana kwenda TANESCO wame over react na hawakujipanga.
Kwani ni nani asiyejua mataizo ya umeme TZ? Wangekodi jenereta.
Hatukutarajia jibu tofauti toka kwako
Hawa wananchi walioamua kuandamana kwenda TANESCO wame over react na hawakujipanga.
Kwani ni nani asiyejua mataizo ya umeme TZ? Wangekodi jenereta.
Hatukutarajia jibu tofauti toka kwako
Wakishaifanya dhambi hii ya ubaguzi haitaishia hapo, baadaye wataanza kusema mimi ni Muislam na yule ni Mkristo. Wataanza tena kubaguana kwa misingi ya kabila na rangi. Hii dhambi haitawaacha salama kamwe. Historia ni shahidi mzuri wa hili.
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?
mbona nasikia ukijiunga na polis akili yako unaweza acha nyumbani?Polisi wanafanya kazi kwa kupokea amri kutoka kwa bosi, kama roboti. Wao hawahoji hata kidogo. Ukishakuwa polisi basi umeshawaaga wananchi.