WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Hao ni wabaguzi, hawawezi kutia neno kwasababu gesi si ya kaskazini.
Ni wakati wa kuwasapoti wanamtwara kwa nguvu zote kwasababu gesi ni yao.Serikali inatakiwa iwasikilize na kunegotiate nao badala ya kujaribu kuwanyamazisha.
Taratibu wanamtwara watagundua kuwa pilao na kanga si malikitu.
Mkuu nahisi kama unakose kuwaita wabaguzi,hiyo gesi iko kwao miak yote na wao ndio walinzi ake,so ni haki yao kudai sehemu yake kwa ajili ya faida yao na vizazi vijavyo,kwa sababu kutoka itatoka,ila kwanza ijulikane kwamba wao watakuwa na asilimia ngapi?!!,mkuu angali watu wa Serengeti kwa sasa hawali hata nyama wale wa porini,ila wazungu wanakula hadi huko marekni tena mbichi,angalia Geita hakuna faida wanayopata kutokana na dhahbu inayosafirishwa kila wiki yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 45,angalia watu wa Nyamongo dhahbu yao,hawana faida nayo,angaliwa wale wa Biharamulo kwenye mgodi wa Tulawaka kuna mashimo marefu lakini hakuna faida,angalia Buhemba yamebaki mashimo tupu,wananchi ako hoi,jamani jamani wanamtwara hapo mliposhika ndipo penyewe waseme kwanza ninyi mtapata asilimia ngapi??!!!!!!!!!