kisima jongoo
Member
- Jan 6, 2013
- 36
- 4
tandika mabomu hao wanataka kugawa nchi yetu vipande vipande,
Hali mijini hapa ni tete! Mabomu yanarindima mjini hapa kuwatawanya wananchi wanaojiandaa na mkutano mkubwa unaotarajiwa kufanyika mjini hapa kuhusu suala zima la gesi.
Chanzo cha mabomu hayo kupingwa ni baada ya umeme kukatika/kukatwa eneo panapotarajiwa kufanyika mkutano huo uwanja wa mashujaa mjini hapa na baada ya kuona hivyo wananchi wakaamua kuandamana kuelekea Tanesco kujua chanzo cha tatizo hilo la umeme na hali hiyo kupelekea polisi kuanza kuvurumisha mabomu ya machozi.
Ifahamike kwamba kumekuwa na mvua kubwa mjini hapa toka usiku wa leo ambayo inaweza ikawa chanzo cha kukatika kwa umeme huo (huu ni mtazamo wangu) ingawa inaweza ikawa hujuma pia.
Eneo nilipo umeme upo hali hii ya sintofahamu imepelekea huduma muhimu za kijamii kama maduka na soko kufungwa.
wewe unajua maana ya ushabikihivi tutashabikia mambo haya hata lini?
Chadema wanahusika!!!!!!!!
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?
hivi tutashabikia mambo haya hata lini?
mkuu huu ni muda wa kukesha na kuombaKama mambo haya yanatokea kweli,huu ndio mwisho wa masikilizano Mtwara. Naiona hatari yaifunika Mtwara
Ralphryder, sifurahii hata kidogo watu wakiumia na kuteseka, ndio maana niko mstari wa mbele kuona kuwa Mtwara na sehemu za kusini wanapata maendeleo yanayostahili. Maana ya kutaka picha si kuziangalia tu, pale kuweza kuzisambaza ikiwezekana duniani kote kuonyesha jinsi harakati za wana Mtwara zinavyozuiwa kwa kutumia nguvu za dola.Dingswayo, Unafuraaaaahi,kama vila unangojea picha za Van Dame na Rambo sio? Hizo ni picha za watanzania wakijeruhiwa na pengine nao kujeruhi au kuua na kuuana sio sinema! huo ushabiki wenu unaponza wananchi. Na usifikiri wanaokaa kusini wote ni wamakonde usisahau hilo watakapowaona watu wasio wa Kusini ni kikwazo watawashambulia nini kitafuatia?
mkuu kuna mtu kakuzuia kufanya uwekezaji wa madini?Hapa hakuna ushabiki, tunasimama katika ukweli, Tabora ipo choka huku madini yanatoka wilayani Nzega . Wanao nufaika wengine. Mtwara waki ruhusu itoke kule watakua kama Geita mali kibao inatoka pale ila njaa tupu
mkuu huu ni muda wa kukesha na kuomba
tanzania ni yetu sote chai ililimwa iringa ikainufaisha mpaka mtwara kahawa illimwa kagera na klm ikainufaisha mpaka lindi na ruvuma lazima tujenge umoja wa kitaifa achaMpaka Magamba yakituachia Nchi yetu...........!!!!!!!