Tunaomba mtuwekee picha.
Nguvu hizi zinazotumika ni kiashirio cha ukomo wa kufikiri.Mjadala wa Gesi au Rslimali za taifa kwa ujumla hauwezi kuzimwa kwa nguvu.Dikteta Dhalimu Wa Nigeria General Sani abacha alitumia Nguvu nyingi kuwanyamazisha Akina Ken Saro Wiwa kule Niger Delta akishirikiana na makampuni ya kibepari ya Shelly,CHEVRON,BP n.k katika kuhujumu raslimali ya Mafuta dhidi ya watu wa Ogun lakini mwisho wake haki ilishinda na yeye alikufa vibaya.
Hapa Tanzania watawala wanatuelekeza kufuata njia ya Ken,Daima tutashinda!

hahahahaAngalieni tu msije mkawa kama Mwangosi(R.I.P).Manake polisi hawatumii akili zao za kuzaliwa!zaidi ya ganja na viroba!
ndio wanahusika kwa kuwapa wananchi elimu ya uraia na kujua haki zao.acha kufuga nywele kichwani...............Chadema wanahusika!!!!!!!!