Hawajawahi kufaidika
kivipi? unaweza kuniambia faida za bandari kwa watu wa dar?...Hivi kwa
mfano viwanda kama vingefunguliwa pale Mtwara huoni wananchi wangefaida
lakini unapoitoa wananchi unawanyia furusa na kama unawanyiama kufaidia
moja kwamoja basi uwaambie kwenye mapato ya gesi 7% ya pato lote
litokanalo na gesi litarudi kwenye mkoa na litaendelea kugawanywa mpaka
kufika kwenye kata/wilaya inakopatikana gesi..hivyo hivyo kwa mikoa kama
shy,mwanza,mara,Arusha,Dar..siyo wahuni wanawaachia machimo unazidi
kuneemesha akaunti za kina Riz1,lowasa na wahuni wengine...
chadema wanahusika kivipi, wakati wabunge wengi mkoani mtwara ni wa ccm na asilimia kubwa ya wakazi wa mtwara wako ccm. Hapo sijakuelewa. Kwa mawazo yangu wabunge wa ccm hawawezi kufuata sera za chama kingine badala ya kunadi sera za ccm.chadema wanahusika!!!!!!!!
Wapi nimesema wagawiwe pesa waweke mfukoni?..acheni ukweli ubaki kuwa ukweli maliasli zetu lazima zinufaishe sehemu husika kwanza siyo watu wanachota madini na wanyama kisha mnapewa vyandarua watanzania tuamke tusimamie rasilimali zetu tuache upumbavu wa kuhofia ukihoji utaitwa mdini sijui mkabila....Crashwise, Huo utaratibu wa kugawana mapato na kuweka mfukoni ni wa nchi gani? hapa kwetu haupo! Ni sera za Lipumbaf sijaona mimi!
kama unakumbuka M4C ilipo ingia kule ilibidi mawaziri ambao ni wabunge wa huko warudi kwenye majimbo yao haikuwa bure.. watu walikuwa wanapewa masomo ya bure na inavyoelekea wana mtwara ni wanafunzi wazuri maana wameyashika mafundisho vyema...bado kanda zingine kwenye upande wa kulinda mali...chadema wanahusika kivipi, wakati wabunge wengi mkoani mtwara ni wa ccm na asilimia kubwa ya wakazi wa mtwara wako ccm. Hapo sijakuelewa. Kwa mawazo yangu wabunge wa ccm hawawezi kufuata sera za chama kingine badala ya kunadi sera za ccm.