Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Hii stori hata mimi niliisikia baada ya mtandao kurejea kile kipindi cha maandamano.

Aliyenambia alikuwa ni mfanyakazi wa ofisi binafsi ambayo inamilikiwa na mwanajeshi mwenye cheo cha juu.

Alipenyezewa hizo taarifa ila sikuziamini kwa asilimia zote kwa jinsi namna huyo mtu anavyoogopwa na hadi wakuu wake sikuona kama itakuwa ni real.

Maana kile kipande kina roho ngumu waweza sema Sisu, watu wanakihofia hadi maboss zake sikuweza kuamini moja kwa moja ila kwa huu ukimya wake tangu maandamano yafanyike maybe inawezekana.
Hapo kabla mafwele alikua muongeaji,akionekana media!?.. yaani hivyo vianaharakati kwa kuzua havijambo,na minyumbu inaamini ty
 
Hizo ni futuhi, mwnye mamlaka hawezi kubembeleza, anatoa order tu, usipotii urudi kijijini kwenu ukalime
Naye mwenye mamlaka anaogopa repercussions za wajeda! Lazima awe macho sana, short of that watampindua
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Wamkabidhi the haugue kabisa asaidie kutaja wenzake na kujua walipo mateka.
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Yale Yale ya kuaminishana jeshi liko upande wa wananchi. Siyo kila kinachopostiwa twitter unakichukua kama kilivyo. Yaani jeshi hili ligomee amri ya cinc?
 
Hii siwezi kuamini.
Kufanya hivyo ni nusu ya kufanya utawala wa kijeshi.
Kwa sheria zetu jeshi la wananchi hawawezi kumkamata na kumhoji askari polisi kwa makosa ya jinai.
Katika hali ya kawaida uko sahihi! Katika hali kama ya 29, lolote linawezekana
 
Hiyo migambo haina jeuri ya kumkamta Mafwele wao waendelee kupiga raia wanaovaa nguo zinazofanana na zao basi.
Siku ya uchaguzi nilikua NAPIGA misele mahala nika kutana nao kama sita hivi wanatembea NILICHO gundua, wengi Sasa hivi ni watoto, hawana afya unaweza beba ukatupa KULE, kilicho Baki ni jezi TU ndo inawalonda ila bila jezi kama humjui unapiga haswa
 
Contradiction ya hio taarifa Iko hivi.

1. Mekaji amedakwa
2. Ndio maana wanaotekwa wanapatikana polisi.

Swali

Inawezekanaje mtekaji yupo mbaroni halafu aendeshe operation ya kuteka na watekaji wapatikane huko huko mbaroni?

3. Ina maana hapa jf nzima hakuna anaye fanya kazi karibu na mafwele ambaye anaweza kupenyeza taarifa za uhakika yaani JF nzima? Hata kama hayuko karibu na mafwele basi awe anafanya kazi kituo anakofanyia kazi mafwele. HAYUPO KABISA?
Naskia operation za jamaa zina usiri mkubwa na sio polisi wote wana access na info za operations zake hata wale wa high level naskia nao wako limited.

Kwa mfano naskia kuna maeneo ambayo polisi wakawaida hawaruhusiwi kwenda, hao polisi wakawaida nadhani ndio wanaotoa hizo speculations kuwa pengine maeneo hayo ndio waliko hifadhiwa hao waliotekwa.
 
Hawa jamaa ni wajinga sana humu ndani.

Yani kwa katiba yetu hii ambayo Rais kapewa nguvu iliyopitiliza ammbembeleze aliyemteua (JJ Mkunda) tena chawa kabisa. Wangekuwa washatemeshwa kama Sirro
Stori Za kurudisha Imani ya Raia Kwa Dola ,

Ni kama mama kupika mawe kwenye jiko akiwadanganya watoto chakula kinaiva , wanasubiri mpaka wanalala ,wakiamka siku ya pili🤣
 
We ndo hujui kabisa, hivi hukuona kwenye lile sekeseke la Cpt Tesha ilifikia hatua hadi hatua yule ADC wa Samia alikataliwa na Usalama kutembea pamoja na Samia kwa sababu ya kutooaminika

Samia anaowaogopa ni Usalama sababu wapo nae mda wote
Kwahiyo walinzi wa Samia wote hakuna wanajeshi !?
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Ndugu
Usiamini hayamaparody
 
Back
Top Bottom