Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393

Ukweli ni Kwamba Sheria ya Usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge Mwaka 2023 inaruhusu kufanya Jinai ya Uaminifu, Sasa jinai unaweza kuwa Kuteka, kuua na kuzika kibabe bila Ndugu kujua, n.k.

Hivyobasi, intellijensia wote awe wa TISS, POLICE TANZANIA, UHAMIAJI, MAGEREZA, etc wale wenye wito wa special duties basi wanafanya hayo yote kwa sababu ya Sheria inawalinda.
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Kama ni kweli, ni habari njema sana kwa jamii ya watu waliostarabika (watanzania). Nimekuwa nikifikiri kwamba jeshi lingechukua hata nchi ili kukomesha hivi vitendo vya utekajia, uuaji, rushwa na kuondoa kabisa hii kitu ya watu kubambikiwa makosa na kesi bila ushahidi. Jeshi lingetuelekeza wananchi tutengeneze mfumo bora (katiba) wa kuendesha tawala za kiraia katika nchi yetu kwa haki, uhuru, uzalendo na kuzingatia sheria za nchi. Mimi naamini jeshi ndiyo kiranja mkuu katika taifa lolote kwa sababu ndiyo wenye 'POWER' kwani utii kwa viongozi waliowekwa na wananchi ni nidhamu tu kwani viongozi hao hawana 'POWER' bila jeshi kuwatii.
 
Kwa namna taarifa ilivyo, haiwezi kuaminika hata chembe japo ingekuwa ni ya kweli nchi ingekuwa imekaribia nusu ya ukombozi
Hii taarifa ya uongo hawa wanajeshi wanaofagilishwa barabarani na kugeuka matrafki hawawezi kushughulika na ishu serious kiasi hiko.
 
SIo TU kumkamata mafwele hata kukohoa hawana huo ubvu, ukishikwa na mwanajeshi yeyote AKATAKA kukupiga we mwambie TU mi ni mtoto wa kamanda mafwele, mbio atakazo Toka kasongo akasomeee
Kwasasa nchii hii ukimtoa Abdul na Mama ake anayefuata kwa nguvu ni Mafwele,akiongea tu vyombo vyote vinatikisika.
 
Nyie mdanganyeni baba wa watu, kila mtu yuko dispensable...watu wanaweza tembea naye vizuri tu
Ndo ukweli baada ya Samia na Abdul anayefuata kwa nguvu nchi hii ni Mafwele..hakuna mgambo anayekohoa kwa huyo jamaa ndo maana hata Mwenzao Tesha amekimbia nchi na wameshindwa kumtetea.
 
Hizi tetesi za Mafwele kuwa kizuizini zinaletwa na UVCCM wakiongozwa na Kenan.

Sasa iko hivi, askari wa JWTZ ni waoga kuliko mgambo wa jiji hivyo na wao kwa sasa wanapokea maelekezo toka kwa polisi na si vinginevyo.

Mafwele yupo na soon ataendelea na kazi yake.

Asanteni.
JESHI LIKO NA SISI.

Kwa vichekesho vingine, tembelea posts za wabongo za kabla ya Oktoba 29.
 
Mimi natamani haya mabumunda mabakabaka yashughulishwe kidogo tu na M23 waweze kujitambua, maana huu uvaaji wa share bila kushughulishwa wanawaza kuibia watanzania kwa kuongeza bei za mahitaji yao kwenye tender ili kufanikisha ununuzi wa Rolls Royce na G. Wagon

Jeshini kina Capt. Tesha wapo wengi basi tu hawajawezeshwa, ila siku FORD FOUNDATION wakiwawezesha mbona kitawaka sana
Tuna wanajeshi machawa kutoka Uvccm...Kwa jinsi nilivyoona October 29, Tanzania hatuna jeshi wale ni tumbili waliovaa uniform za kijeshi
 
Contradiction ya hio taarifa Iko hivi.

1. Mekaji amedakwa
2. Ndio maana wanaotekwa wanapatikana polisi.

Swali

Inawezekanaje mtekaji yupo mbaroni halafu aendeshe operation ya kuteka na watekaji wapatikane huko huko mbaroni?

3. Ina maana hapa jf nzima hakuna anaye fanya kazi karibu na mafwele ambaye anaweza kupenyeza taarifa za uhakika yaani JF nzima? Hata kama hayuko karibu na mafwele basi awe anafanya kazi kituo anakofanyia kazi mafwele. HAYUPO KABISA?
Swali la pili linajibika kirahisi,

Ikiwa anetekwa, haendeshi utekaji, kinaxhiendelea ni kukamatwa wakosoaji na kuwekwa lock up Kisha kuachiwa kwa dhamana.
 
Yes they can, because police ni raia , jeshi ni moja tu. Under extreme measures wanaweza hata kuwa disarm police

Ita depend na level ya threat iliyopo nchini
Disarmament.

Nimeona wanajenga minara ya kiulinzi mitaani,

Soon watatake over
 
Swali la pili linajibika kirahisi,

Ikiwa anetekwa, haendeshi utekaji, kinaxhiendelea ni kukamatwa wakosoaji na kuwekwa lock up Kisha kuachiwa kwa dhamana.
Swali la tatu.

Waziri wa zamani aitwaye mwambe alidakwa na wanasema alishiriki mitandaoni kwenye swala la 29 oktoba. Swali linakuja
Ikiwa watu wanatumia fake ID including hapa JF doria imefanyikaje kumbaini kuwa ni yeye? Na kama amebainika kirahisi hivyo,, hapa jf wangapi wapo hatarini? KUMBUKA HIYO NI EX MINISTER NA NNAAMINI ALIKUWA EXTRA CAREFUL
 
JF Iko salama kiasi kikubwa labda utoe namba pm mwenyewe.

Kuhusu kumtrace mwambe wao wanajuana, ni mtu wao, yaezakuwa wameanzia kwenye simu kwenda kwenye mitandao.
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Nilisema ukiona rais anaongea maneno yale ujue kuna fukuto sio kidogo ndio maana kabla ya maandamano ulisikia sanaa akiongelea kuhusu vurugu siku ya uchaguz kilichotokea mnakijua
 
Back
Top Bottom