kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,950
mafwele yuko wapi kumjibu huyu kamtafute mafwele tuletee hapa sio vinginevyoAisee, mna vipaji,,
Unakitu utafika mbali bongo muvi
mafwele yuko wapi kumjibu huyu kamtafute mafwele tuletee hapa sio vinginevyoAisee, mna vipaji,,
Unakitu utafika mbali bongo muvi
Hawa jamaa ni wajinga sana humu ndani.1)Wanataka kujua Nani alikuwa anamtuma
2) Samia anaforce mafwele aachiwe
Hii script inatakiwa ikaeditiwe kwenye mstari wa pili, ili isipoteze nguvu ya mstari wa Kwanza,
Wangemtia ulemavu wa maisha tuu.... Hawa watoto wa PK wana roho mbaya sana sawa na wanaomtuma tuu......
We ndo hujui kabisa, hivi hukuona kwenye lile sekeseke la Cpt Tesha ilifikia hatua hadi hatua yule ADC wa Samia alikataliwa na Usalama kutembea pamoja na Samia kwa sababu ya kutooaminikaSiyo nyakati hizi. Kwa wakati huu yule bibi muuaji anaishi kinyonge sana Anatii maelekezo yote toka JWTZ. Anajua kabisa kuwa bila ya JWTZ, anaweza kydakwa na yeyote wakati wowote
Kwa Mafwele mbali wewe mwambie ni mtoto wa mkuu wa kituo cha polisi.SIo TU kumkamata mafwele hata kukohoa hawana huo ubvu, ukishikwa na mwanajeshi yeyote AKATAKA kukupiga we mwambie TU mi ni mtoto wa kamanda mafwele, mbio atakazo Toka kasongo akasomeee
😀😀 wanajeshi mdebwedoMafwele hakamatiki , Ile ni shoti ya umeme..Hawa wanajeshi mdebwedo hakuna mwenye uwezo wakumkamata king Mafwele the butcher
Nilipowaona juzi huko Tanga wanampigia makofi huyu mwanamke pale alipowaambia wasikubali kushirikishwa kwenye masuala ya siasa huku aliwaamuru na wakashiriki siasa zake hakika niliwaona kama midoli tu.Kweli Wajeda wa Bongo ni waoga balaa.
Hizi tetesi za Mafwele kuwa kizuizini zinaletwa na UVCCM wakiongozwa na Kenan. Sasa iko hivi, askari wa JWTZ ni waoga kuliko mgambo wa jiji hivyo nawao kwasasa wanapokea maelekezo toka kwa polisi na si vinginevyo.
Mafwele yupo na soon ataendelea na kazi yake.
Asanteni.
Wale ni mgambo waliochangamkaNilipowaona juzi huko Tanga wanampigia makofi huyu mwanamke pale alipowaambia wasikubali kushirikishwa kwenye masuala ya siasa huku aliwaamuru na wakashiriki siasa zake hakika niliwaona kama midoli tu.
Hamna kitu mule.
Mkuu wa kituo mbali sana, jitambulishe tu mimi ni mtoto wa polisi.Kwa Mafwele mbali wewe mwambie ni mtoto wa mkuu wa kituo cha polisi.
Nyie mdanganyeni baba wa watu, kila mtu yuko dispensable...watu wanaweza tembea naye vizuri tuMafwele hakamatiki , Ile ni shoti ya umeme..Hawa wanajeshi mdebwedo hakuna mwenye uwezo wakumkamata king Mafwele the butcher
😀😀 wanajeshi mdebwedo
Nimelog in kwasababu ya comment hii, nipo Bogota, ColumbiaBinya kende za huyo mbusi kenge de mafwele mpaka zipasuke kisha mnatia pilipili, chumvi, jivu, petrol, conc H2SO4 na maji ya mkonge.
Huyo ilipaswa wanipe mimi nimtese kijadijadi kabla sijamfilimba na kumchinjilia mbali.