Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Stori za ghahawani
Hao lao moja
 
Hii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa zikizunguka anga la Dar na viunga vyake, pamoja na ulinzi mkali ukiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.

Inadaiwa siku hiyo polisi kadhaa na hired goons kadhaa walidakwa na kuchujwa kwa mahojiano ya siku 3 kambi ya jeshi ya Lugalo.

Waliokwama kwenye mchujo wako chini ya ulinzi mpk kesho.

N. B. Mleta mada hataki majina yatajwe. Nami naheshimu na kuishia hapo

Kwa hali ilivyo nchi hii ni vigumu sana kuamini hili jambo. Na kufanya bila maelekezo ya Maza inatia shaka.
 
Hii siwezi kuamini.
Kufanya hivyo ni nusu ya kufanya utawala wa kijeshi.
Kwa sheria zetu jeshi la wananchi hawawezi kumkamata na kumhoji askari polisi kwa makosa ya jinai.
Tz ina watu waajabu sana yaani ukileta habar hwaiachakati au kujiuliza mara2 wao wanapokea tu. Hii habari sio ya kuamini
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Panya hawakamatani.
 
Kama sio maigizo inatakiwa tuone anafunguliwa mashtaka na kuhukumiwa
 
Hii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa zikizunguka anga la Dar na viunga vyake, pamoja na ulinzi mkali ukiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.

Inadaiwa siku hiyo polisi kadhaa na hired goons kadhaa walidakwa na kuchujwa kwa mahojiano ya siku 3 kambi ya jeshi ya Lugalo.

Waliokwama kwenye mchujo wako chini ya ulinzi mpk kesho.

N. B. Mleta mada hataki majina yatajwe. Nami naheshimu na kuishia hapo
Na yule jamaa wa Arusha vipi naye yumo ? hasikiki popote au ndiyo maana akasema jeshi lisichafuliwe na siasa kumbe kuna watu wake wamedakwa kambini huko
 
Ni jambo jema wapatikane wote wakiwa salama, ili wanaharakati uchwara wasitumie hio kuingiza nchi kwenye machafuko
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Mmmmh, usiwaamni hao wazushi tu.
 
Hii stori hata mimi niliisikia baada ya mtandao kurejea kile kipindi cha maandamano.

Aliyenambia alikuwa ni mfanyakazi wa ofisi binafsi ambayo inamilikiwa na mwanajeshi mwenye cheo cha juu.

Alipenyezewa hizo taarifa ila sikuziamini kwa asilimia zote kwa jinsi namna huyo mtu anavyoogopwa na hadi wakuu wake sikuona kama itakuwa ni real.

Maana kile kipande kina roho ngumu waweza sema Sisu, watu wanakihofia hadi maboss zake sikuweza kuamini moja kwa moja ila kwa huu ukimya wake tangu maandamano yafanyike maybe inawezekana.
Contradiction ya hio taarifa Iko hivi.

1. Mekaji amedakwa
2. Ndio maana wanaotekwa wanapatikana polisi.

Swali

Inawezekanaje mtekaji yupo mbaroni halafu aendeshe operation ya kuteka na watekaji wapatikane huko huko mbaroni?

3. Ina maana hapa jf nzima hakuna anaye fanya kazi karibu na mafwele ambaye anaweza kupenyeza taarifa za uhakika yaani JF nzima? Hata kama hayuko karibu na mafwele basi awe anafanya kazi kituo anakofanyia kazi mafwele. HAYUPO KABISA?
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Shikamo abunuasi. Naomba uamke, usije ukajinyea kitandani.
 
Hizo ni futuhi, mwnye mamlaka hawezi kubembeleza, anatoa order tu, usipotii urudi kijijini kwenu ukalime
Si kila order inatekelezeka kaka. Walipita tpdf wanajua hili, only polic ndio wanafanyaga jambo bila kufikiri
 
Back
Top Bottom