Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,941
- 5,033
Kumbe
SahihiKatika hali ya kawaida uko sahihi! Katika hali kama ya 29, lolote linawezekana
SI kweli yule anabaraka kutoka juu kabisa..Jana kwenye kijiwe chetu cha kidigitali akaja mtabe mmoja na kuanza kufunguka.
Anasema za chini ya kapeti jamaa wa kaki anayeogopwa nchi nzima ameyakanyaga na sasa anashikiliwa na Mabakabaka.
sijajua ukweli upoje ila nimeisikia tena habari hii kule twitter.
Maamaee Van Pebles......
cc britaniccaSwali la tatu.
Waziri wa zamani aitwaye mwambe alidakwa na wanasema alishiriki mitandaoni kwenye swala la 29 oktoba. Swali linakuja
Ikiwa watu wanatumia fake ID including hapa JF doria imefanyikaje kumbaini kuwa ni yeye? Na kama amebainika kirahisi hivyo,, hapa jf wangapi wapo hatarini? KUMBUKA HIYO NI EX MINISTER NA NNAAMINI ALIKUWA EXTRA CAREFUL
Nani Tanzania hii ana jeuri ya kukataa neno lolote toka kwa mkuu wa nchi?,hebu usitufanye watoto basiMtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393