Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,466
- 42,594
Hapa anachomewa utambi ili JW wamgonge shaba ranks.Ni kumuonea tu, sidhani kamal ndiye anatekeleza nchi nzima
Hapa anachomewa utambi ili JW wamgonge shaba ranks.Ni kumuonea tu, sidhani kamal ndiye anatekeleza nchi nzima
hahahah! Mkuu umemaliza kila kitu uzi ufungwe!, kwamba soon mafwele ataanza usajili mpya wa new member wa kuingizwa torture chamber, kitalaamu inasema "tunaanzia na kuendeleza tulipo ishia"Hizi tetesi za Mafwele kuwa kizuizini zinaletwa na UVCCM wakiongozwa na Kenan.
Sasa iko hivi, askari wa JWTZ ni waoga kuliko mgambo wa jiji hivyo na wao kwa sasa wanapokea maelekezo toka kwa polisi na si vinginevyo.
Mafwele yupo na soon ataendelea na kazi yake.
Asanteni.
Amir Jeshi Mkuu(CIC) hawezi kutoa order kwa watu wa chini(Waliomzuia MAFUEL) then wakatae hapo ndipo panatia shaka kwamba ni TANGO PORI(Spin Doctor At Work).
Kitendo cha pili cha kusema kwamba MTEKAJI na muuaji MAFUEL hayupo ndiyo maana wanaotekwa wanarudi ,nayo ni TANGO PORI ,kama hayupo MTEKAJI OG means wanaokamatwa PGO ingekuwa inafanyika so hadi ndugu watakuwa wanajua ndugu yao yupo wapi ,juzi Paratrooper Buyoye katekwa hakuna aliyejua imekuja kujulikana yupo changombe baada ya week moja kupita.
Mnajua kweli kuwafurahisha wadanganyika kwa tungo za kujifariji na kufikirika na kuwasahaulisha machungu.Tunamhoji mpaka aseme aliko Pole pole!
Misifa na mdomo viliponza kichwa!Hicho ndicho kilichochea tumkamate! Maana alitamba sana mbele ya media!
Rubbish!Hii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa zikizunguka anga la Dar na viunga vyake, pamoja na ulinzi mkali ukiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.
Inadaiwa siku hiyo polisi kadhaa na hired goons kadhaa walidakwa na kuchujwa kwa mahojiano ya siku 3 kambi ya jeshi ya Lugalo.
Waliokwama kwenye mchujo wako chini ya ulinzi mpk kesho.
N. B. Mleta mada hataki majina yatajwe. Nami naheshimu na kuishia hapo
Sheria hizo ni za kwao wenyewe ila za kimataifa hazikubaliki.Sheria ya Usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge Mwaka 2023 inaruhusu kufanya Jinai ya Uaminifu ikiwemo Kuteka, kuua, kukuzika katika makabuli ya halaiki, n.k.
Hapo awali Sheria ya 1996 ilikuwa inawaruhusu kukusanya taarifa, kuchakata na kutoa mapendekezo serikalini.
Lakini hii Sheria ya Sasa inawaruhusu intelijensia wenye wito wa special duties awe TISS, POLICE, UHAMIAJI, MAGEREZA, nk kufanya jinai ya uaminifu bila kushitakiwa.
Asante
Sheria hizo ni za kwao wenyewe ila za kimataifa hazikubaliki.
UsidanganyikeHii stori hata mimi niliisikia baada ya mtandao kurejea kile kipindi cha maandamano.
Aliyenambia alikuwa ni mfanyakazi wa ofisi binafsi ambayo inamilikiwa na mwanajeshi mwenye cheo cha juu.
Alipenyezewa hizo taarifa ila sikuziamini kwa asilimia zote kwa jinsi namna huyo mtu anavyoogopwa na hadi wakuu wake sikuona kama itakuwa ni real.
Maana kile kipande kina roho ngumu waweza sema Sisu, watu wanakihofia hadi maboss zake sikuweza kuamini moja kwa moja ila kwa huu ukimya wake tangu maandamano yafanyike maybe inawezekana.
Sheria hiyo ni mbaya inaweza kutumika vibaya hata kumuua Raisi.Sheria ya Usalama wa Taifa iliyopitishwa na Bunge Mwaka 2023 inaruhusu kufanya Jinai ya Uaminifu ikiwemo Kuteka, kuua, kukuzika katika makabuli ya halaiki, n.k.
Hapo awali Sheria ya 1996 ilikuwa inawaruhusu kukusanya taarifa, kuchakata na kutoa mapendekezo serikalini.
Lakini hii Sheria ya Sasa inawaruhusu intelijensia wenye wito wa special duties awe TISS, POLICE, UHAMIAJI, MAGEREZA, nk kufanya jinai ya uaminifu bila kushitakiwa.
Asante
Tena siku hiyo lilikazia kabisa eti tumewakamata wanajeshi wa JW. Na wasiliachie!Misifa na mdomo viliponza kichwa!
Sheria hiyo ni mbaya inaweza kutumika vibaya hata kumuua Raisi.
Ningekuwa mimi ndio Raisi ningeikataa,
Tunaenda kupokea upako kwa MwamposaKuna habari gani?...
Amin kwamba mkuuHata mama mwenyewe anawaogopa hao watu anajua ndo wameshikiloa hatma yake
Kweli Sheria ni msumenoMhe. Rais aliisoma na kupitia Sheria hiyo na kuweza kuisani ili itumike.
Na baada ya kusainiwa tulionao Sheria hii ikitumika vizuri Sana Kwa matukio ya Kuteka na kuuwa yakiongezeka kama sehemu ya kuimarisha intelijensia na kufanya counter intelligence pia.
Natumaini nimekujibu swali lako.
Asante