Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,242
- 10,227
Mkuu Ponjoro wa Kinondoni unaitwa hukuMtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
mnahangaika kuwaamini CCM waliopeana nafasi huko majeshini, hao wote lao mojaMtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Mkuu huu kwangu mimi nadhani ni uongo. Tena naweza kusema ni propaganda ya kupooza hasira za watu. Anashikiliwa na jeshi gani? Hili hili jeshi ambalo juzi makamanda wake walikuwa wanakaripiwa na ki-mama? Hivi kweli jeshi linaweza kuwa na nguvu ya kumshikilia muuaji anayefanya kazi ya ki-mama?Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Hizi ni porojo za UVCCM, hakuna mwanajeshi mwenye ubavu wa kumgusa Mafwele. Achilia mbali Mafwele, hata polisi wa kituo cha kati akipita wanajeshi wanatetemeka vibaya mno.Mkuu Ponjoro wa Kinondoni unaitwa huku
Kuna habari gani?...Mkuu
Mimi naamini nikishaona matokeo
Desemba 19 tuna jambo letu
Mafwele ni mbwa wa boss na yeye ni boss mbele ya JwtzJeshi linamkata yeyote ambae ni tishio kwa nchi ukae ukijua hilo , Yaan hata Raisi akizingua wanamkamata wanakaa naye kizuizini sasa unaongelea mafwele? we namna gani
Ni kumuonea tu, sidhani kamal ndiye anatekeleza nchi nzimaMtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Yaan inashangaza kwa kweli...hilo jambo haliwezekani.
..wanajeshi hawahusiki na ukamataji wa wahalifu, au raia.
..wanajeshi au MP wanakamata wanajeshi wenzao.
..Mafwele ndiye aliyekamata wanajeshi na alisikika akitoa taarifa ktk kikao na IGP.
But a key player!Ni kumuonea tu, sidhani kamal ndiye anatekeleza nchi nzima
Hicho ndicho kilichochea tumkamate! Maana alitamba sana mbele ya media!Mafwele ndiye aliyekamata wanajeshi na alisikika akitoa taarifa ktk kikao na IGP
Tunamhoji mpaka aseme aliko Pole pole!Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
HahahahahaHizi ni porojo za UVCCM, hakuna mwanajeshi mwenye ubavu wa kumgusa Mafwele. Achilia mbali Mafwele, hata polisi wa kituo cha kati akipita wanajeshi wanatetemeka vibaya mno.
Ntaamini kama wakina Pole pole na mdude watapatikana wakiwa haiHii stori hata mimi niliisikia baada ya mtandao kurejea kile kipindi cha maandamano.
Aliyenambia alikuwa ni mfanyakazi wa ofisi binafsi ambayo inamilikiwa na mwanajeshi mwenye cheo cha juu.
Alipenyezewa hizo taarifa ila sikuziamini kwa asilimia zote kwa jinsi namna huyo mtu anavyoogopwa na hadi wakuu wake sikuona kama itakuwa ni real.
Maana kile kipande kina roho ngumu waweza sema Sisu, watu wanakihofia hadi maboss zake sikuweza kuamini moja kwa moja ila kwa huu ukimya wake tangu maandamano yafanyike maybe inawezekana.
Yaani unachosema na mm niliwaza hivyo hivyo…kinachosubiliwa ni opportunity, kikundi kilichokuwa well organized kama M23 kikizaliwa tu, wengi kutoka Jeshini watajoin….Wacha waendelee kuchezea moto…petrol ikipatikana basi kwisha habarMimi natamani haya mabumunda mabakabaka yashughulishwe kidogo tu na M23 waweze kujitambua, maana huu uvaaji wa share bila kushughulishwa wanawaza kuibia watanzania kwa kuongeza bei za mahitaji yao kwenye tender ili kufanikisha ununuzi wa Rolls Royce na G. Wagon
Jeshini kina Capt. Tesha wapo wengi basi tu hawajawezeshwa, ila siku FORD FOUNDATION wakiwawezesha mbona kitawaka sana
Tatizo watz tunapenda sana story, ndio maana tumeletewa hizi story ili tupumbazike!Amir Jeshi Mkuu(CIC) hawezi kutoa order kwa watu wa chini(Waliomzuia MAFUEL) then wakatae hapo ndipo panatia shaka kwamba ni TANGO PORI(Spin Doctor At Work).
Kitendo cha pili cha kusema kwamba MTEKAJI na muuaji MAFUEL hayupo ndiyo maana wanaotekwa wanarudi ,nayo ni TANGO PORI ,kama hayupo MTEKAJI OG means wanaokamatwa PGO ingekuwa inafanyika so hadi ndugu watakuwa wanajua ndugu yao yupo wapi ,juzi Paratrooper Buyoye katekwa hakuna aliyejua imekuja kujulikana yupo changombe baada ya week moja kupita.