kuzua taharuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu watano mbaroni kwa kuzua taharuki kuibiwa Nyeti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Akizungumzia matukio hayo, Jeshi la Polisi lilieleza kuwa tukio la kwanza...
  3. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya hili au anataka kuzua taharuki

  4. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote hapa au anataka kuzua taharuki

  5. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police. Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma. Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio...
  6. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuwa, Picha ama video kuhusu kitu fulani huweza kusambazwa kwa lengo la kuzua taharuki ama kuvuta hisia za wasomaji kwa udanganyifu

    Baadhi ya watumiaji tofauti wa mitandao ya kijamii walichapisha taarifa Agosti 05, 2025 wakieleza kuwa kuna chombo cha anga ambacho kimekuwa kikionekana mara kwa mara na kukinasibisha kuwa ni uvamizi wa viumbe vya aliens ambao watakuwa wameweka makazi yao katika eneo la Pico de Orizaba. Tazama...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe amesema madai ya sumu kwa Lissu hayana msingi, ni njia ya kuzua taharuki

  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

    Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana! Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini? Taarifa kamili hii hapa "Kufuatia uvumi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob, Malisa watua Kisutu kufuatilia kesi inayowakabili, yapangwa Agosti 29, 2024

    Mfanyabiashara na mwanasiasa Boniface Jacob maarufu Boni Yai na mwanaharakati Godlisten Malisa na baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wakiwa katika viwanja vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Jumanne Julai 30, 2024 jijini Dar es Salaam. Boniface mkazi wa Mbezi Msakuzi Dar...
  10. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Bank ABC yauzwa kwa acces bank na kuzua taharuki kwa walioomba mikopo

    ABC wamerusha taulo, Na kuuzwa kwa access bank, Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1, Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti, Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja, Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao Nilijibiwa kwamba wapo kwenye...
  11. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa akamatwa tena na Jeshi la Polisi na kusafirishwa mkoani Kilimanjaro

    Kesi namba 11805/2024 inayomkabili aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob na Godlisten Malisa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Saalam limeahirishwa hadi tarehe 04 Julai 2024 ambapo usikilizwaji wa awali wa shauri hilo utaanza. Baada ya kesi hiyo kuahirishwa, Jeshi la...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki inayowakabili Boniface Jackob na Malissa kuendelea Mahakama ya Kisutu

    Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024 Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake. PIA SOMA - Boniface Jacob na Godlisten Malissa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...
Back
Top Bottom