Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Hii siwezi kuamini.
Kufanya hivyo ni nusu ya kufanya utawala wa kijeshi.
Kwa sheria zetu jeshi la wananchi hawawezi kumkamata na kumhoji askari polisi kwa makosa ya jinai.
Yes they can, because police ni raia , jeshi ni moja tu. Under extreme measures wanaweza hata kuwa disarm police

Ita depend na level ya threat iliyopo nchini
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Sa si wamfumue ya kichwa km ye anavyofumua wengine wanahoji nn
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Jeshi hawana mamlaka ya kumshikilia civillian Police kwenye kambi zao.

Wanachoweza kufanya ni kumkamata na kumsweka rumande za Polisi, yaani nyani akafungiwe kwenye rumande ya ngedere!

Hii habari ni ya kupikwa.
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Hii habari umeiamini?...
 
..hilo jambo haliwezekani.

..wanajeshi hawahusiki na ukamataji wa wahalifu, au raia.

..wanajeshi au MP wanakamata wanajeshi wenzao.

..Mafwele ndiye aliyekamata wanajeshi na alisikika akitoa taarifa ktk kikao na IGP.
Km ye alikamata, hao wajeda washindwe nn?
Hii nchi tulipofika kila kitu kinawezekana
 
Hii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa zikizunguka anga la Dar na viunga vyake, pamoja na ulinzi mkali ukiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.

Inadaiwa siku hiyo polisi kadhaa na hired goons kadhaa walidakwa na kuchujwa kwa mahojiano ya siku 3 kambi ya jeshi ya Lugalo.

Waliokwama kwenye mchujo wako chini ya ulinzi mpk kesho.

N. B. Mleta mada hataki majina yatajwe. Nami naheshimu na kuishia hapo
Safii
Kuna mtu alisema hii last month wakambishia ss naelewa
 
Hapana wamsodome,wamrekodi watusambazie clip wamtie upofu na wamkate mikono na miguu halafu wamuachie.
Ingawa hii habari pia sio ya kweli ni propaganda kama za kifo cha yule jezebel.
Tena apakwe wese la Nazi kabisa
 
Hapana wamsodome,wamrekodi watusambazie clip wamtie upofu na wamkate mikono na miguu halafu wamuachie.
Ingawa hii habari pia sio ya kweli ni propaganda kama za kifo cha yule jezebel.

Huyo aliye kwenye d process ?ni suala la muda tu
 
Binya kende za huyo mbusi kenge de mafwele mpaka zipasuke kisha mnatia pilipili, chumvi, jivu, petrol, conc H2SO4 na maji ya mkonge.

Huyo ilipaswa wanipe mimi nimtese kijadijadi kabla sijamfilimba na kumchinjilia mbali.
duh! Mkuu ikionekana wewe siku ya mwisho ndo unapewa kitengo cha kuhukumu huko jehanamu tutaandamana utolewe haufai hata kidogo hata kuwa mshauri wa shetani.
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
1)Wanataka kujua Nani alikuwa anamtuma

2) Samia anaforce mafwele aachiwe

Hii script inatakiwa ikaeditiwe kwenye mstari wa pili, ili isipoteze nguvu ya mstari wa Kwanza,
 
..hilo jambo haliwezekani.

..wanajeshi hawahusiki na ukamataji wa wahalifu, au raia.

..wanajeshi au MP wanakamata wanajeshi wenzao.

..Mafwele ndiye aliyekamata wanajeshi na alisikika akitoa taarifa ktk kikao na IGP.
Kwenye nchi ya kiholela kama ya kwetu, anything is possible. Ingawa kwa ile clip, inaonyesha is a very powerful figure.
 
..hilo jambo haliwezekani.

..wanajeshi hawahusiki na ukamataji wa wahalifu, au raia.

..wanajeshi au MP wanakamata wanajeshi wenzao.

..Mafwele ndiye aliyekamata wanajeshi na alisikika akitoa taarifa ktk kikao na IGP.
Jeshi linamkata yeyote ambae ni tishio kwa nchi ukae ukijua hilo , Yaan hata Raisi akizingua wanamkamata wanakaa naye kizuizini sasa unaongelea mafwele? we namna gani
 
Back
Top Bottom