Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

Hakuna ukweli kwenye jambo hili. Kazi ya habari ni.kuset agenda na sasa agenda kubwa ni kuonesha dunia tunajali uhai na.utu.wa.watu lakini dhamira iko tofauti kabisa top down approach theory
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Habari hii imeletwa kuwapumbaza au kuwafariji, wahanga wa mauaji.

Siamini ukweli wake. Sababu kama waliomkamata ni JWTZ, hawajui amri zinatolewaje hasa na vyombo vya ulinzi.!!!!!
 
Hizo ni futuhi, mwnye mamlaka hawezi kubembeleza, anatoa order tu, usipotii urudi kijijini kwenu ukalime

Siyo nyakati hizi. Kwa wakati huu yule bibi muuaji anaishi kinyonge sana Anatii maelekezo yote toka JWTZ. Anajua kabisa kuwa bila ya JWTZ, anaweza kydakwa na yeyote wakati wowote
 
Hizi tetesi za Mafwele kuwa kizuizini zinaletwa na UVCCM wakiongozwa na Kenan.

Sasa iko hivi, askari wa JWTZ ni waoga kuliko mgambo wa jiji hivyo na wao kwa sasa wanapokea maelekezo toka kwa polisi na si vinginevyo.

Mafwele yupo na soon ataendelea na kazi yake.

Asanteni.
 
Ukitaka kujua mafwele yupo au hayupo ulizia ofisi ya ZCO iko wapi waambie una shida nae utapata jibu kuwa yupo au hayupo.

Hizi zingine ni harakati za nyumbu kumuona mwenzao analiwa na mamba alafu ndani ya dakika 1 wanasahau wanaanza kusema yule siyo mamba ni gogo
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
UONGO MTUPU ...!JWTZ,POLISI, SAMIA NA CCM ni kitu kimoja.
 
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.

Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.

Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko

View attachment 3516393
Hizi ni political spinning za kutaka Kuonesha sasa gavo ya Samia inashughulukia matatizo ya wananchi na ni mpango mikakati wa kushusha pressure ya wadanganyika.

Hakuna ukweli wowote juu ya hili,huyo mtekaji amekuwepo enzi za JPM na Leo Samia muuaji walikuwa wapi kumkamata!?

Nadhani tuendelee tulipoishia
 
Back
Top Bottom