Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
NIMEJARIBU KUFIKIRI SN NA KUJIULIZA KINGEYOKEA NN IWAPO HUYO kuku angekuwa wa ponda au ilunga.......
 
Huyu itakuwa alimwachia makusudi huyo mbwa,bila shaka ilishatokea mara nyingi,huyo mbwa kuachiwa ovyo,na majirani wakatoa onyo,je kama angeng'ata mtu mzima,au mtoto mdogo,na akawa huyo mbwa ana maradhi ya kichaa cha mbwa,ugonjwa hatari sana,unaoambukiza kiurahisi sana,hili utaona ni jambo dogo lakini,ni kubwa,kwa tahadhari ya kichaa cha mbwa.
Na mpaka huyo mbwa akamng'ata huyo kuku,itakuwa ana kichaa cha mbwa,si bure.

Sasa kwa nini asishambuliwe huyo mbwa tu na badala yake mkamshambulia huyo MTAWA?
 
Endelea kuimba ngonjera usichokijua,kukuelimisha wewe ni sawa na kuhamishia bahari nchi kavu ndio maana nakuita kianzi...,akili yako changanya na ilo jini maimuna.

Ndugu huyo kikwajuni one he isn't normal kuendelea kwako kubshana nae nakumjibu watu watawaona wote wehu.
 
Kutokusoma hakuna dini, hata wakristo wapo wasiosoma na hawataki kusoma. Roho mbaya pia haitegemei dini ni tabia ya mtu. Hayo mnayoyasema nyinyi kua waislam hawajasoma mnazidisha tu kwa sababu ya chuki zenu vilevile. Znz mashule kibaooo na yanajaa mpk hayatoshi, vijijini na mashamba mashule kibao. Usiongee kitu ambacho Huna point nacho, Qur an huijui na hujui inatuamrisha nn wacha uzushi.

madrasa ndio shule? Ebu tuondolee upumbavu wako hapa
 
madrasa ndio shule? Ebu tuondolee upumbavu wako hapa
wewe ndio waonekana --------,shule ni kijerumani,madrasa ni kiarabu,school ni kiingereza,neno moja katika lugha tofauti.Hata mkristo muarabu,shule ataita madrasa kwa lugha ya kiarabu.Halafu ndio mwasema mmesoma,hata kutofautisha lugha,mwashindwa!
 
Sehemu nyingi waliyojaa hawa wenye dini hii ni vurugu tu,sijui wanafundishwa kuvuruga amani,hii imani ni janga la dunia,heri uwe mpagani kuliko kuwa hii hii dini
ni kama kule wanakopigana waprotestant na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,kongo,rwanda,kote hao ni waislamu?
 
Enzi hizo alivaa, kama miaka 2000 AD, lakini ninyi mnavaa hadi leo!
repjesus2.gif
 
Mwanamke hana thamani mbele ya imani ya hawa waliompiga mtawa!ndio maana wanaweza kuoa hata mara 4 ,maana mwanamke hana say!

Hawa watu wanatakiwa kucheza nao fire kwa fire.Unfortunately we have week govt,week parliament ambao ni janga la taifa.Hali hii itatuendesha kwa miaka 50 ijayo
nyinyi ndio mwawathamini wanawake ndio mana mwawavalisha nusu uchi
 
ni kama kule wanakopigana waprotestant na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,kongo,rwanda,kote hao ni waislamu?

Umesahau suicide bombing wakati wa Idd huko Iraq?Roho zaidi ya 70 zilipotea ,eti Shia sio waislamu kamili!
 
Hamna jipya la kualalisha ujinga wenu wa kutopenda elimu,,Nyerere alivyokuwa anawalazimisha kwenda shule na hadi kuwashushia passmark(mfano lindi na mtwara) mlitaka hawafanyie nini?? hawabebe kama kundi maalum like walemavu na kina mama wajawazito???iyo misingi ni ipi aliyoacha ya kuwakandamiza waislam ambayo inatekelezwa na kikwete kama sio kutafuta visababu kila kukicha mseme mnaujumiwa na madrasa zenu!!...hapo ulipo ujawai ata kununulia mdogo wako kama sio mwanao kitabu cha darasani ila ukikaa unamlaumu Pengo ndio anakurudisha nyuma utafikiri ye ndio anagawa akili za darasani..tembeeni muone watu wanavyo i-value elimu na wengine ni wakulima tu ila wanapigana watoto wasome nyie msubirini ponda na lipumba watawakomboa na dhulma ya mfumo kristo,,endeleeni kungoja sana mpaka siku mkigundua ni fikra zenu zinazotakiwa kukombolewa..ANZENI KUPANDA MITI NA MAUA KWENYE MAENEO YA MISIKITI YENU,,ANZIENI HAPO.
wale wanauwa maalibino,na wanawake wenye macho mekundu,na yule mzee wa kanisa aliyezikwa hai kwa uchawi,ndio wamesoma hao!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom