Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Bora mimi nimechagua kuwa muumini wa JF.
Sijawahi kuielewa myeusi mwenzangu inayobagua myenzao kwa msingi Wa dini za myeupe iliyozileta kwa sababu tofuti na kuifikisha myeusi myezangu ahera. Haya ni majanga ya kutoielewa historia ya maendeleo ya binadamu.
 
Ndio mafundisho ya mtume wao!

hapana kaka tz misconception,verily mtume wetu Mohammadi rehma na amani ziwe juu yake hakufundisha kudharau dini nyingine,na kwa kweli ni makosa kwa muislam kumvamia mtu tu na kumpiga!
 
Habari ndogo mnaikuza

hii sio habari ndogo mkuu...watu wazima kuingilia ugomvi wa kuku na mbwa na kuuugeuza wa kidini ni ishara kwamba tumefika pabaya sana,,kuna siku itatokea JOHN kamgonga na gari JUMA kwa bahati mbaya, kisha watu wakaenda kuchinja mapadre na kuchoma makanisa kulipa kisasi na kupigania haki yao......
 
Sehemu nyingi waliyojaa hawa wenye dini hii ni vurugu tu,sijui wanafundishwa kuvuruga amani,hii imani ni janga la dunia,heri uwe mpagani kuliko kuwa hii hii dini
 
Tafsri halisi ni kuwa nchi haitatawalikwa kwa hawa viongozi vihiyo, wangoa meno kucha, wadini, wauza unga na kuua tembo. Wakina kk.
 
Usishangae wakasema "kuku ni wa dini yetu" . Wapumbavu sana watu hawa!

me naona kama hili swala hata hali husiani na dini,perhaps ni ugomvi wa majirani tu au chuki binafsi ndani ya jamii hvyo huyo mbwa alikuwa kama catalyst tu ila kwa nchi ss iimejaa tension ya dini bac kila ugomvi wa muislam na mkrsto dini itawekwa kati.
 
Mamlaka za Zanzibar zikiendelea kupuuzia ujinga huu, very soon ZNZ itaorodheshwa kama kitovu cha ugaidi
 
Ulimwenguni mtapata masumbuko lakini jipeni moyo mimi nimeushinda ulimwengu(Bw Yesu)
Pole sana Sister Mungu akujaalie upone upesi Amina.
 
Hapo unakosea kweli anakosea kwanini tumuhusishe mtume wao na fujo sema kuna wachache tu wasiojua maana ya uislam na kuingiza ubinadam wao. Ninamarafiki wengi waislam ni wazuri sana tu yaani.tunashea mambo mengi tu.
 
Nategemea kusikia kauli ya shehe Lipumba katika hili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom