nenda lindi,mtwara na pwani tanga uko watu wanasakwa na serikali za kata wapeleke watoto wao shule wengine hadi wanawatorosha ilimradi tu wasifike shule mtu faida yake bado analazamishwa na serikali mpaka anafunguliwa mashtaka,,aya nimeyaona chongoleani,nangurukulu,kibata,kivinje nk nk...kama uko kwenu zenj ndio upumbavu mtupu umejaa wazazi wanashauri watoto wajifelishe ili wasiendelee kusoma wawaozeshe,,, mtoto anapelekwa madrasa badala ya shule alafu baadae mnakuja kumlaumu nyerere wakati ashakufa zake mara mfumo kristo wakati malezi yenu tupu mabovu mama anamtukana mwanae cumhamhayo au mcenghe na ni kitu cha kawaida ata misingi ya elimu nyumbani hakuna kazi kumkalilisha maandishi ya ajabu ajabu na chuki kwa makafir shule hamtaki,,,,,unakuta familia nzima hawajui kusoma wala kuandika ila wana roho mbaya kama majini...