Kuna ugonjwa wa kichaa cha mbwa,mbwa wanatakiwa wafungwe minyororo,na kufungiwa kwenye mabanda maalumu,kichaa cha mbwa ni ugonjwa mbaya sana,mbwa akimng'ata mnyama mwingine,na yule naye anakuwa na kichaa cha mbwa,na huyo mnyama naye akimng'ata mwingine,ugonjwa unaendelea.Kisheria ni kosa kuchukuwa sheria mkononi,kupigwa huyo mtawa,lakini na yeye mtawa pia ana makosa kumwachia mbwa ovyo,ni kosa la jinai,mbwa unayemfuga ukamwachia ovyo.mbwa aking'ata kuku ndo mnaua duuu ndo maana misri yanaendelea yaliyopo huko!
Ndio maana alitumwa Yesu kuja kuja ku clarify. Ki-imani na kiroho yeyote asiye na dhambi ( kama yupo) ni ruksa kumuhukumu mwenye dhambi. Ndio maana akasema ya Mungu (imani) muachie Mungu na ya Kaisari (serikali) muachie Kaisari(serikali). Na akasema kabisa watu watahukumiwa na mahakama/mahakimu wa dunia/serikali na watafungiwa madhambi lakini yupo Hakimu wa ukweli ambaye akosei (Mungu) yeye ndie atakayehukumu kwa haki siku ya mwisho na walioonewa wote watafarijika.
Na akatupa amri kuu mbili ambazo zinaunganisha amri zote kumi
1) mpende na mtumikie Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa akili yako yote, kwa nguvu zako zote.
2)Mpende mwenzio/jirani yako kama unavyojipenda wewe.
Kwa maana hiyo wakristu wanatakiwa kuishi zaidi kwa mafundisho ya Yesu. Ndio maana baada ya kuja Yesu chuki/hukumu juu ya mtu mwingine haipewi nafasi kwenye midomo ya WaKristo safi.
wanatekeleza maagizo ya sheikh ponda. bila shaka lipumba analifahamu hili vyema.
Halafu mwasema mmesoma,hata kufahamu kama kuna ugonjwa wa hatari wa kichaa cha mbwa,inatakiwa mtu anayefuga mbwa awe mwangalifu ,kumfunga mnyororo,awe na banda la kufungia,na awe anapata chanjo.kisheria huyo mtawa ana makosa,kama atafikishwa kwenye vyombo vya sheria,na hayo wananchi wanamakosa kwa kuchukuwa sheria mkononi,na hii ni Tabia ipo dunia nzima,ya kuchukuwa sheria mkononi.Alafu wengine hudai hiyo ni kuipigania dini ya Alah
Upendo ndio huo wa kuuza koti na kununua upanga?Na ndio huo upendo wanaomalizana kwa kuchinjana wa protestant na wakatoliki,Ireland ya kaskazini? Au kina Askof Joseph Kibwetere,kuwachoma maelfu ya watu kanisani,au upendo wa Kina John Garang,wakuuwa watu na kuwaacha maelfu vilema.Kweloi mna upendo.Well said Mkuu,
Kikubwa hapo ni UPENDO.Ukiwa na upendo,huwezi kumtendea awaye yote ubaya.
Ukristo ni Upendo kama zinavyoainisha hizo amri kuu mbili.Upendo kwa Mungu na kwa binadamu mwenzako.
Wanafuata maagizo ya kuuza koti,ununue UpangaAlafu wengine hudai hiyo ni kuipigania dini ya Alah
Zanzibar si salama kwa kuishi especially kwa wale wenye imani tofauti na majority ya wazanzibari
Duh, wawewanafungia hao mbwa wasiwaache wakizagaa ovyo!
nenda lindi,mtwara na pwani tanga uko watu wanasakwa na serikali za kata wapeleke watoto wao shule wengine hadi wanawatorosha ilimradi tu wasifike shule mtu faida yake bado analazamishwa na serikali mpaka anafunguliwa mashtaka,,aya nimeyaona chongoleani,nangurukulu,kibata,kivinje nk nk...kama uko kwenu zenj ndio upumbavu mtupu umejaa wazazi wanashauri watoto wajifelishe ili wasiendelee kusoma wawaozeshe,,, mtoto anapelekwa madrasa badala ya shule alafu baadae mnakuja kumlaumu nyerere wakati ashakufa zake mara mfumo kristo wakati malezi yenu tupu mabovu mama anamtukana mwanae cumhamhayo au mcenghe na ni kitu cha kawaida ata misingi ya elimu nyumbani hakuna kazi kumkalilisha maandishi ya ajabu ajabu na chuki kwa makafir shule hamtaki,,,,,unakuta familia nzima hawajui kusoma wala kuandika ila wana roho mbaya kama majini...

Wanafuata maagizo ya kuuza koti,ununue Upanga
hii ndiyo shida ya kumfuata mtume aliyerogwa akawa mwendawazim
Umeona ponda tu nani katoa amri ya pinga tu?
MTAWA KAPIGWA KWAKUWA AMEFUMANIWA :wave: