umesahau Askofu Josph kibwetere,alivyowachoma wafuwasi wake kanisani,wapatao 1,700,wacha yule wa jamaica,aliyewanyunyuzia dawa kanisani waumini wake,wapatao 700Umesahau suicide bombing wakati wa Idd huko Iraq?Roho zaidi ya 70 zilipotea ,eti Shia sio waislamu kamili!
hata shule za waislamu nyingi alizitaifisha,na mpaka leo hazijarudishwaNyerere alitaifisha shule za makanisa na kuwa za serikali ili vijana wa dini zote wakasome bila kuogopa kubatizwa au kulishwa nyama ya nguruwe, yafaa kumshukuru sababu alitaka usawa wa elimu kwa watu wa imani zote.
Soma historia,wajerumani walipofika Pwani ya Afrika mashariki,walikuta wenyeji Tayari wanajuwa kusoma na kuandika kwa herufi za kiarabu,maneno ya kiswahili,kiswahili kilikuwa kinaandikwa kwa herufi za kiarabu,alipokuja Mngereza ndio akabadilisha,akaanza kutumia herufi za kirumi (mngereza hana herufi zake,anatumia herufi za kirumi au kilatini) ndio mana mpaka leo mashuleni twasoma herufi za kirumi na za kiarabu,za kiarabu ni 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,hapo kwenye namba alishindwa mngereza kubadili,kwa sababu za kirumi zilikuwa zinababaisha na zina namba nyingi.Na hii elimu ya kusoma hawa wenyeji,walifundishwa na waarabu waislamu,kila lugha za kimataifa ina herufi zake,ila kiingereza,imechukuwa herufi za kirumi(kilatini)na namba za kiarabu,wachina wanasoma kwa kichina,wajapani,warusi,wahindi,waarabu,na wanachukuwa shahada,stashahada,udaktari,nk kwa lugha zao.Usifikiri utakwenda ujerumani au china kusoma,utafundishwa kwa kiingereza,utafundishwa kwa lugha yao.------- kabisa nani kakwambia bara kulikuwa hakuna shule,,aya bas mie nakubali watu wa pwani na waislam ni wasomi si umefurahi ehee,,sasa mnacholalamika nini kama nyie ni wasomi,,iyo elimu waliipata wapi wakati wa mjerumani misikitini au shule za kiislamu??mnadanganyana uko kwenye mihadhara kama mazoba vile...
Mumeshikwa pabaya!acheni sasa kutukana uislamu kwa kosa la mtu,ambaye hakutumwa na waislam wala uislam.Narudia we dogo ni pimbi tena bhahau,chichiman,fish mkubwa wewe,unajifanya mwema wakati umemkejeli Jesus,nawaheshimu waislam wastaarabu sina sababu ya kumkejeli Mtume..
'kianzi'endelea kuimba ngonjera usichokijua,kukuelimisha wewe ni sawa na kuhamishia bahari nchi kavu ndio maana nakuita kianzi...,akili yako changanya na ilo jini maimuna.
uko dunia ganh,usiyejuwa kama waprotestant na wakatoliki ,IRELAND YA KASKAZINI WANACHINJANA(MUNGU AWAPE AKILI,WAISHI KWA AMANI)Unamaanisha dunia hiihii nnamoishi wakristo wanachinjana? Au una maanisha sayari nyingine. Yaani unaakili ndogo sn na ukichanganya na dini yako ndo basi kazi kukalili mistari ya waarabu tu... unahalalisha uhanisi mnaofanya duniani kote kwa kutamka maneno km umelaaniwa na shetani?
hata shule za waislamu nyingi alizitaifisha,na mpaka leo hazijarudishwa
Soma historia,wajerumani walipofika Pwani ya Afrika mashariki,walikuta wenyeji Tayari wanajuwa kusoma na kuandika kwa herufi za kiarabu,maneno ya kiswahili,kiswahili kilikuwa kinaandikwa kwa herufi za kiarabu,alipokuja Mngereza ndio akabadilisha,akaanza kutumia herufi za kirumi (mngereza hana herufi zake,anatumia herufi za kirumi au kilatini) ndio mana mpaka leo mashuleni twasoma herufi za kirumi na za kiarabu,za kiarabu ni 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,hapo kwenye namba alishindwa mngereza kubadili,kwa sababu za kirumi zilikuwa zinababaisha na zina namba nyingi.Na hii elimu ya kusoma hawa wenyeji,walifundishwa na waarabu waislamu,kila lugha za kimataifa ina herufi zake,ila kiingereza,imechukuwa herufi za kirumi(kilatini)na namba za kiarabu,wachina wanasoma kwa kichina,wajapani,warusi,wahindi,waarabu,na wanachukuwa shahada,stashahada,udaktari,nk kwa lugha zao.Usifikiri utakwenda ujerumani au china kusoma,utafundishwa kwa kiingereza,utafundishwa kwa lugha yao.
Kutokusoma hakuna dini, hata wakristo wapo wasiosoma na hawataki kusoma. Roho mbaya pia haitegemei dini ni tabia ya mtu. Hayo mnayoyasema nyinyi kua waislam hawajasoma mnazidisha tu kwa sababu ya chuki zenu vilevile. Znz mashule kibaooo na yanajaa mpk hayatoshi, vijijini na mashamba mashule kibao. Usiongee kitu ambacho Huna point nacho, Qur an huijui na hujui inatuamrisha nn wacha uzushi.
uharo upi?Mmmmmmmmh. Kumbe! Maana kuna wengine walishaanza kutoa uharo humu
pia hayo ninayaona huku maeneo ya Maswa,Meatu,kishapu Mwalimu Mkuu anahongwa ili mtoto afutwe shule!, watoto wengi madarasan hawajui kusoma na kuandika.sekonda wanaanza 80 lakin fom 4 wanamaliza 20!. cha kushangaza waislam ni 0.0001% hebu waeleze hao waislam hapa napo tatizo nini
naona umeshupalia sana kuwa kuwa na mashule ndio usomi,unataka kusema mashule ya wakristo wanabagua wanafunzi kwa misingi ya dini zao?.Pumba tupu unaongea....hao waarabu waliacha shule gani kama sio kuwalazimisha wazee wetu kukalili maujinga wasiyoyaelewa.
nahao madr na maprofesa wanatokea wapi?akina dr bilali,shein,haroub,salim etc?.zanzibar uko ndio shule F kabisaaa mtu kasoma sana kaishia form two,ukiona mtoto kafaulu uyo katokea bara...na hapa naongelea majority so usiongee kama uujui ukweli.
[h=3]Maelfu wafeli kidato cha pili[/h]
[h=1][/h]
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philip Mulugo
[h=3]WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili mwaka 2012, yanayoonyesha kuwa wanafunzi 136,923 kati ya 386,271 waliofanya mtihani huo wamefeli.[/h][h=3][/h][h=3]Katika matokeo hayo shule kumi zilizofanya vibaya zote ni za Serikali, zikitoka Mikoa ya Kusini. Wanafunzi kumi bora wakitoka katika shule binafsi na taasisi za dini.[/h]
[h=3]Kusini hoi
Matokeo hayo yanaonyesha kuwa shule za Serikali zilizofanya vibaya na kushika nafasi 10 za mwisho zinatoka Kanda ya Kusini. Alizitaja shule hizo kuwa ni ya Mihambwe, Diduma, Kiromba, Marambo, Mbembaleo, Kinjumbi, Litupi, Luagala, Miguruwe na Napacho.[/h][h=3][/h]
Ili muache tabia ya kudharau,wengine,kama kusema waislam hawasomi,wakati wapo wakristo wengi tu hawana elimu,wanafanyakazi za majumbani,madukani,mashambani nk,walioajiriwa na waislam na wapo waislam walioajiriwa na wakristoDawa ya mtoto kukojolea korani ni kuchoma makanisa; dawa ya mbwa wa mkriso kuuma kuku wa mwislamu ni kutembeza mapanga! Kuna uendawazimu mwingi sana hapa!!