chamtemamoto
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 796
- 215
Hii picha kweli ni kiboko,
Kama inauwezo wakumzibiti Mungu mkubwa, na wafuasi wake dunia zima, wanalalamika kuwa wanaonewa hadi wanajilipua, hawana amani hawapati usingizi hawapumui, mwenye akili ni nani? Anayefuata picha au anayemfuata Mungu aliyezibitiwa na kunyimwa pumzi na picha?.
(Kweli imani yenu inawaangamiza)