Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Jamani chonde chonde, tusishabikie na kujadili tofauti za dini zetu kama Ligi ya mpira England. Ushauri wangu,the solution will come from within each sect. Waislamu waelewa wawaeleweshe wenzao kua tending towards extremism is fatal to the Nation. Hali kadhali Wakristo waelewa wawaelimishe wenzao kua kukejeli dini nyingine si sawa pia. Tujadili matatizo yetu bila mihemko! Tulikabidhiwa nchi yenye umoja na staha,vivyo hvyo tujitahidi kwa vizazi vijavyo ikiwa na umoja ule ule
 
Wewe ndio mjinga,usielewa dunia,mtindo wa kuchukuwa wanafunzi kutoka mikoa mingine kupeleka mikoa minginea Ulianza kipindi cha Nyerere,baada ya kuwachukuwa wanafunzi toka Bara kuwaleta Pwani,kwa vile bara kulikuwa hakuna shule.Na ukiona shule zinajenga eneo fulani ujuwe watu wa maeneo hayo ni wasomi.Hata waalimu wa kwanza walikuwa ni Waislamu.Soma historia,wacha ujinga,soma uone maofisa wa kwanza wakati wa ujerumani walikuwa ni wa dini gani.

------- kabisa nani kakwambia bara kulikuwa hakuna shule,,aya bas mie nakubali watu wa pwani na waislam ni wasomi si umefurahi ehee,,sasa mnacholalamika nini kama nyie ni wasomi,,iyo elimu waliipata wapi wakati wa mjerumani misikitini au shule za kiislamu??mnadanganyana uko kwenye mihadhara kama mazoba vile...
 
Tafsiri ipi potofu? Kama walijiripua wenyewe pale soweto,hayo mengine yanashindikana vipi?
Wewe uwezo wako wa reasoning uko chini sana. Kama walijilipua wenyewe,na wale watoto waliotoka madrasa wakaathirika nao ni ndani ya kundi hilo la wenyewe? Kama sio basi hii ni serikali pumb..vu ambayo inaona fulani kajilipua na kusababisha watoto wasio na hatia wanatoka shule wanaathirika na haichukui hatua kwa wahisika inabaki kusema ni wao wenyewe.
Wakati mwingine tumieni akili la sivyo tutabonyeza kitufe cha IGNORE halafu post zako zitaonwa na wenzako tuu na mtajadiliana mbulula watupu.
 
Alishaweka miundomini yakuwarudisha nyuma waislamu,moja ya miundominu hiyo ni kuuwa umoja wa waislamu wa Afrika mashariki,East african muslim welfare,Bakwata ikaundwa,Bakwata inawarudisha nyuma waislamu sana.Mikakati ilishawekwa mda mrefu wa kuwavuruga waislamu. Kama wanavyonyimwa maendeleo waprotestant na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,mpaka leo watu wanachinjana

Wewe unazidiwa akili na KITIMOTO!!
 
Andate hii Kali sasa nini muafaka? Mbona kazi ipo, mie nina nduguzangu ,wajomba ,mashangazi na wadogo zangu. Lol kazi. MUNGU ibariki TZ.
Tukivifuata kwa 100% vitabu vya dini tulivyoletewa na hao wageni bila kuweka tolerance, muafaka hautapatikana ng'o, na inavyoelekea tutachapana muda si mrefu, siombei itokee wala sipendi itokee. Sasa hivi nchi yetu ni kama ndege ambayo inaruka kwa auto pilot na karibia inaishiwa mafuta na rubani amelala fofofo, dakika yotote tarajia chochote.

Pata dawah kidogo

NAFASI YA WAISLAM NA KATIBA MPYA TANZANIA - USTADH ILUNGA - YouTube
 
Na upande wa pili hawatendei kazi kitabu chao:Teh Teh Teh
Kill People Who Don't Listen to Priests
Anyone arrogant enough to reject the verdict of the judge or of the priest who represents the LORD your God must be put to death. Such evil must be purged from Israel. (Deuteronomy 17:12 NLT)

Kill Witches
You should not let a sorceress live. (Exodus 22:17 NAB)

Kill Homosexuals
"If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives." (Leviticus 20:13 NAB)

Kill Fortunetellers
A man or a woman who acts as a medium or fortuneteller shall be put to death by stoning; they have no one but themselves to blame for their death. (Leviticus 20:27 NAB)

Death for Hitting Dad
Whoever strikes his father or mother shall be put to death. (Exodus 21:15 NAB)

Death for Cursing Parents
1) If one curses his father or mother, his lamp will go out at the coming of darkness. (Proverbs 20:20 NAB)
2) All who curse their father or mother must be put to death. They are guilty of a capital offense. (Leviticus 20:9 NLT)

Death for Adultery
If a man commits adultery with another man's wife, both the man and the woman must be put to death. (Leviticus 20:10 NLT)

Death for Fornication
A priest's daughter who loses her honor by committing fornication and thereby dishonors her father also, shall be burned to death. (Leviticus 21:9 NAB)

Death to Followers of Other Religions
Whoever sacrifices to any god, except the Lord alone, shall be doomed. (Exodus 22:19 NAB)

Kill Nonbelievers
They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 Chronicles 15:12-13 NAB)
and so much more

Ndio maana alitumwa Yesu kuja kuja ku clarify. Ki-imani na kiroho yeyote asiye na dhambi ( kama yupo) ni ruksa kumuhukumu mwenye dhambi. Ndio maana akasema ya Mungu (imani) muachie Mungu na ya Kaisari (serikali) muachie Kaisari(serikali). Na akasema kabisa watu watahukumiwa na mahakama/mahakimu wa dunia/serikali na watafungiwa madhambi lakini yupo Hakimu wa ukweli ambaye akosei (Mungu) yeye ndie atakayehukumu kwa haki siku ya mwisho na walioonewa wote watafarijika.
Na akatupa amri kuu mbili ambazo zinaunganisha amri zote kumi
1) mpende na mtumikie Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa akili yako yote, kwa nguvu zako zote.
2)Mpende mwenzio/jirani yako kama unavyojipenda wewe.

Kwa maana hiyo wakristu wanatakiwa kuishi zaidi kwa mafundisho ya Yesu. Ndio maana baada ya kuja Yesu chuki/hukumu juu ya mtu mwingine haipewi nafasi kwenye midomo ya WaKristo safi.
 
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.

Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.-

Chanzo: Mwandishi wetu wa Zanzibar

There is a devil inside these people. Believe me, they will all go to hell. Only Satan supports these inhumane acts.
 
watu wameanza kujitapa kwa udini!!! mawazo haya ya kipumbavu katika nchi yetu. Nyerere
 
wanatekeleza maagizo ya sheikh ponda. bila shaka lipumba analifahamu hili vyema.
Sio PONDA! ni PINDA ndio aliesema wapigwe tu, unamuonea bure SHeikh Ponda, hajawahi kutoa kauli hiyo,
 
Mbwa kamng'ata kuku binadamu unapigana? Nadhani hata hao wanyama wanawashanga jinsi mlivyo na akili za ajabu.
 
Pole sana mtawa wetu, ndio matatizo ya dunia hii watu wanaroho mbaya sana hatupendani, mungu tusaidie wanawako
 
someni nyie hamasishaneni kusoma na kuwekeza kwenye elimu,msipende kutafuta mchawi kwenye maujinga yenu wenyewe...we umekalia kupost pumba tu apa eti utapata thawabu mnavodanganyana.
Nyie mnaosema mmesoma,mbona nchi bado ni maskini,hakuna maendeleo yoyote.Au ni vyeti fake,halafu mwasema mmesoma,aliyesoma hata haelewi hapo nimeandika nini.Kasome wewe,mwenye cheti fake.Aya za Biblia waita Pumba,kwa sababu huelewi,zimeandikwa kwa kiingereza,hawa ndio wasomi,wanaojiita wasomi,ukimbadilishia lugha,umeshamchanganya.
 
Huwa najiuliza ni nani alimpiga zile picha.
Ni dini ambayo umezoea vitu fake,hata picha za yesu wanazotoa ni fake,mtu mwingine wanampiga picha au wanamchora wasema ni Yesu,ndio mana hata vyeti vya vyuo,wanatafuta vya kughushi,halafu wanasema wamesoma.
 
Mbwa kamng'ata kuku binadamu unapigana? Nadhani hata hao wanyama wanawashanga jinsi mlivyo na akili za ajabu.
Huyu itakuwa alimwachia makusudi huyo mbwa,bila shaka ilishatokea mara nyingi,huyo mbwa kuachiwa ovyo,na majirani wakatoa onyo,je kama angeng'ata mtu mzima,au mtoto mdogo,na akawa huyo mbwa ana maradhi ya kichaa cha mbwa,ugonjwa hatari sana,unaoambukiza kiurahisi sana,hili utaona ni jambo dogo lakini,ni kubwa,kwa tahadhari ya kichaa cha mbwa.
Na mpaka huyo mbwa akamng'ata huyo kuku,itakuwa ana kichaa cha mbwa,si bure.
 
Ndio maana alitumwa Yesu kuja kuja ku clarify. Ki-imani na kiroho yeyote asiye na dhambi ( kama yupo) ni ruksa kumuhukumu mwenye dhambi. Ndio maana akasema ya Mungu (imani) muachie Mungu na ya Kaisari (serikali) muachie Kaisari(serikali). Na akasema kabisa watu watahukumiwa na mahakama/mahakimu wa dunia/serikali na watafungiwa madhambi lakini yupo Hakimu wa ukweli ambaye akosei (Mungu) yeye ndie atakayehukumu kwa haki siku ya mwisho na walioonewa wote watafarijika.
Na akatupa amri kuu mbili ambazo zinaunganisha amri zote kumi
1) mpende na mtumikie Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa akili yako yote, kwa nguvu zako zote.
2)Mpende mwenzio/jirani yako kama unavyojipenda wewe.

Kwa maana hiyo wakristu wanatakiwa kuishi zaidi kwa mafundisho ya Yesu. Ndio maana baada ya kuja Yesu chuki/hukumu juu ya mtu mwingine haipewi nafasi kwenye midomo ya WaKristo safi.
Kwa hiyo Mungu wenu hana msimamamo,mara atoa hukumu,mara kishasahau,anaipinga yeye mwenyewe hiyo hukumu,duh kazi ipo.
 
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.

Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.-

Chanzo: Mwandishi wetu wa Zanzibar

Mbwa lazima wafungwe vizuri na mnyororo,na wawe na vibanda vyao,sio kuwaachia ovyo,kuna ugonjwa wa kichaa cha mbwa,ni ugonjwa mbaya sana,unaambukiza,mbwa huyo angemng'ata mtoto,au mtu,au paka,halafu hao nao wakang'ata wengine,ugonjwa ungeendelea.

SIGNS OF MENTAL ILLNESS IN DOGS
1.UNUSUALLY DESTRUCTIVE BEHAVIOR
.As pet owner ,you are the authority on your pet's behaviur.When a well-trained dog begins tearing up your home,scraching your furniture and destroying their beds,there is a problem.They may even begin self -mutilation in severe cases.Dogs that demonstrate unusually destructive or compulsive behavior suffer from separation anxiety,fear or beredom.It may also be a sign of bigger mental health illness like depression and Alzheimer's disease.
2.INCREASED ANXIETY
Dogs with increased anxiety ,including excessive barking,shaking,destructive behavior or aggression,show signs of possible mental illness.
Dogs that are confused or forgetful will become aggressive with owners and OTHER PETS.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom