Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
hawana adabu wala busara,wote makafiri tu,dini gan ya kpumbavu hyo huruhusu watu kulipiza ksasi hatakc chokuwa na mcngi wowote!
 
Hata kama nyerere kafa tatizo 'system' a.k.a mfumo kristo.

Hamtakosa wa kumtishwa mzigo wenu wa uvivu na ujinga...siwalaumu sababu ndio mnayolishwa kwenye mihadhara na nawaambia huo ukombozi mnaodanganyana hamutakuja kuuona mpaka mukomboe fikra zenu kwanza nyie watu wa kutumiwa,,,,Feza ni shule ya waislam lakini ndio shule bora kwa sasa je inapendelewa na mfumo kristo???Jipangeni kabla hamjahalalisha ujinga wenu kwa kutupia lawama wengine...mnataka kuwa treated kama 'special groups'! kweli tuwape nafasi za upendeleo kama vilema na wanawake!??kisa mmeshindwa kucompete kwa ujinga wenu wa kutopenda shule,,,,yani ongeeni lingine sio shule mie nimeishi sana na waislam nawajua mwanzo mwisho wasivopenda shule alafu wanalaum watu badae,....Anzeni kwa kupanda miti na maua kwenye misikiti yenu hapo ata mindset zenu zitaanza kubadilika,sijui kama umenisoma hapo.
 
hayo tunayoyaona ndo MATunda ya mafundisho potofu, ambayo serikali inayafumbia macho.
 
Hamtakosa wa kumtishwa mzigo wenu wa uvivu na ujinga...siwalaumu sababu ndio mnayolishwa kwenye mihadhara na nawaambia huo ukombozi mnaodanganyana hamutakuja kuuona mpaka mukomboe fikra zenu kwanza nyie watu wa kutumiwa,,,,Feza ni shule ya waislam lakini ndio shule bora kwa sasa je inapendelewa na mfumo kristo???Jipangeni kabla hamjahalalisha ujinga wenu kwa kutupia lawama wengine...mnataka kuwa treated kama 'special groups'! kweli tuwape nafasi za upendeleo kama vilema na wanawake!??kisa mmeshindwa kucompete kwa ujinga wenu wa kutopenda shule,,,,yani ongeeni lingine sio shule mie nimeishi sana na waislam nawajua mwanzo mwisho wasivopenda shule alafu wanalaum watu badae,....Anzeni kwa kupanda miti na maua kwenye misikiti yenu hapo ata mindset zenu zitaanza kubadilika,sijui kama umenisoma hapo.

Acha uongo wewe, waislam gani wasopenda shule. Mnakaa mnadanganyana tu thennakrem ujinga. Waislam gani ulokaa nao wewe? We mwenyewe unajojua hasa kama unaongea uongo. Huoni hata aibu
 
Kuna watu wamekalia kutukana uislam tu, huyo mtawa hata hamjajua kapigwa na nani mnaanza kutoa comments za kejeli juu ya uislam. Hakuna hata mzanzibari mmoja kwa ishu kama hio anaeweza kutumia mapanga na kufikia kumjeruhi huyo mama namna hio. Hayo ni mambo ya kwenu tanganyika mlozoea kukatana kama kuku tena hamna hata kisisi, kawaida tu kwenu kutoana roho km vile mmpewa kazi ya kumsaidia zirail.
 
Acha uongo wewe, waislam gani wasopenda shule. Mnakaa mnadanganyana tu thennakrem ujinga. Waislam gani ulokaa nao wewe? We mwenyewe unajojua hasa kama unaongea uongo. Huoni hata aibu

nenda lindi,mtwara na pwani tanga uko watu wanasakwa na serikali za kata wapeleke watoto wao shule wengine hadi wanawatorosha ilimradi tu wasifike shule mtu faida yake bado analazamishwa na serikali mpaka anafunguliwa mashtaka,,aya nimeyaona chongoleani,nangurukulu,kibata,kivinje nk nk...kama uko kwenu zenj ndio upumbavu mtupu umejaa wazazi wanashauri watoto wajifelishe ili wasiendelee kusoma wawaozeshe,,, mtoto anapelekwa madrasa badala ya shule alafu baadae mnakuja kumlaumu nyerere wakati ashakufa zake mara mfumo kristo wakati malezi yenu tupu mabovu mama anamtukana mwanae cumhamhayo au mcenghe na ni kitu cha kawaida ata misingi ya elimu nyumbani hakuna kazi kumkalilisha maandishi ya ajabu ajabu na chuki kwa makafir shule hamtaki,,,,,unakuta familia nzima hawajui kusoma wala kuandika ila wana roho mbaya kama majini...
 
Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawala na kumuumiza. punde nitawawekea picha. Ni tukio la kusikitisha sana.

Hawa watu waliofanya hivi hawako serius kabisa. Kwanini wasingeomba walipwe kutokana na kuku wao kuumizwa na mbwa wa mtawa? je kwani huyo mtawa alimtuma mbwa yule kwenda kumuumiza kuku? Je uhai wa huyo kuku unaweza kufananishwa na maisha ya mtawa huyo? Je inamaana kwamba hawa waliofanya hivyo uwezo wa kufikiria ndio umeishia hapo? utashi wao ukoje? Je ni kweli wanampenda mungu na wanaamini kuwa mungu wanaemwambudu ameliona tukio hilo? Ni aibu kubwa kwa wote waliofanya kitendo hicho na wanaosupport kitendo hicho cha kidhalimu. shame on them
 
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.

Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.-

Chanzo: Mwandishi wetu wa Zanzibar
wanafuata nyayo za mtume
 
Kama Nyerere alikuwa kikwazo kwenye elimu kwenu basi ameshakufa tuone basi mnabadilika maana mnalalamika midomoni lakini maisha yenu na matendo yenu ya kila siku yanaonesha hamuipendi kabisa ilmu ya makafiri.......yani ata mwaka keshokutwa mtaendelea kumlaumu marehemu kuwa ndio anawakwamisha maendeleo yenu wakati alishajifia zake,,ivi ushawahi kujiuliza uko shuleni ulimopita kina nani walikuwa wanafanya vizuri darasani kama sio watoto wa kikristo je walikuwa wanapendelewa na walimu??sasa unashangaa nini ukuwaona baadae wako wengi kwenye system ya elimu!!!elimu ni misingi bila misingi utalaumu watu mpaka mwisho wa dunia na utabaki hapo hapo ata Ponda akiwa rais,,,,,na hapo Nyerere kosa lake ni kuwa mkatoliki sijui angekuwa ameongeza na uchaga ingekuwaje.,,yani uyu Nyerere aliwapeleka hadi kwa lazma mashuleni mkaficha watoto zenu eti watabatizwa na maeneo ya kusini lindi mtwara na pwani walipokuwa awafikishi passmark tokana na IQ ndogo aliwashushia alama za ufaulu ili nao waione shule bado mnatakaga nyie mbebwe kama yatima vilema au wanawake viti maalumu watu wa ajabu san nyie..
Alishaweka miundomini yakuwarudisha nyuma waislamu,moja ya miundominu hiyo ni kuuwa umoja wa waislamu wa Afrika mashariki,East african muslim welfare,Bakwata ikaundwa,Bakwata inawarudisha nyuma waislamu sana.Mikakati ilishawekwa mda mrefu wa kuwavuruga waislamu. Kama wanavyonyimwa maendeleo waprotestant na wakatoliki,Ireland ya kaskazini,mpaka leo watu wanachinjana
 
Kunatofauti kubwa sana kati ya "MUNGU" na "mungu". Sisi wakristo tunamwamini MUNGU na kwenye biblia kuna neno "MUNGU" hakuna neno "mungu". MUNGU wetu tunaye muamini haruhusu mambo kama hayo. Ukiona watu wanaamini majini...inabidi utafakari marambili kuwa wamejazwa roho zipi. Maana sisi Kwa jina la YESU majini na mapepo yanayo wasumbua watu tunayaseta kuzimu.
Mungu yule aliyebebwa na shetani,mpaka mlimani?Matthew 8-10?
 
Acha uongo wewe, waislam gani wasopenda shule. Mnakaa mnadanganyana tu thennakrem ujinga. Waislam gani ulokaa nao wewe? We mwenyewe unajojua hasa kama unaongea uongo. Huoni hata aibu

Mifano hai tizama huko irack Afagnistan Sirya misri Sudan dafur nk ni Dini gani inaendekeza vita huko?wanajidai wajanja lakini Taifa Teule linawatawara warabu wote na hawafurukuti Si ujanja kuendekeza udini tena Udini Uchwara Kama huu wa zenji hautawafikisha popote pale sasa mtazidi Kuwa masikini wa Fikra Kumbuka Serikari haina Dini na Hawa wanaopandikiza udini watalaaniwa tu .
 
Mwanamke hana thamani mbele ya imani ya hawa waliompiga mtawa!ndio maana wanaweza kuoa hata mara 4 ,maana mwanamke hana say!

Hawa watu wanatakiwa kucheza nao fire kwa fire.Unfortunately we have week govt,week parliament ambao ni janga la taifa.Hali hii itatuendesha kwa miaka 50 ijayo

ndio maana yericko nyerere anasisitiza kiswahili sasa ndio umeandika nn...?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom