Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Habari nilizozipata punde kutoka Zanzibar zinasema Mtawa Mkatoliki ameshambuliwa na kuumizwa vibaya Visiwani Zanzibar jirani kabisa na alipopigwa risasi Padri Mushi na kuuawa.

Chanzo ni mbwa wa masista kumng'ata kuku wa majirani. Ndipo kundi la vijana wenye mapanga na marungu wakamvamia mtawa na kumuumiza.-

Chanzo: Mwandishi wetu wa Zanzibar

Dhambi ya ubaguzi na udini ,eti sijui CCM inawenyewe,mimi Mhaya na huyu Mnyakyusa,mimi mkristo na huyu mwislamu,chama hiki ni cha wakristo na hiki ni cha waislamu,itatutafuna weee mpaka siku Nyerere atakapofufuliwa kama kweli kuna ufufuko!Sijui Nyerere aliwezaje kuudhibiti udhaifu huu!!
 
Mwanamke hana thamani mbele ya imani ya hawa waliompiga mtawa!ndio maana wanaweza kuoa hata mara 4 ,maana mwanamke hana say!

Hawa watu wanatakiwa kucheza nao fire kwa fire.Unfortunately we have week govt,week parliament ambao ni janga la taifa.Hali hii itatuendesha kwa miaka 50 ijayo
 
Tatazo watu wengi huwa hawaelewi, wakisikia mashehe wanahubiri chuki dhidi ya madhehebu mengine wanadhani ni wachochezi, kumbe wao wanahubiri kilicho ndani ya vitabu vyao vya dini, na hiyo ndio kazi yao kama viongozi wa dini.
Na upande wa pili hawatendei kazi kitabu chao:Teh Teh Teh
Kill People Who Don't Listen to Priests
Anyone arrogant enough to reject the verdict of the judge or of the priest who represents the LORD your God must be put to death. Such evil must be purged from Israel. (Deuteronomy 17:12 NLT)

Kill Witches
You should not let a sorceress live. (Exodus 22:17 NAB)

Kill Homosexuals
"If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives." (Leviticus 20:13 NAB)

Kill Fortunetellers
A man or a woman who acts as a medium or fortuneteller shall be put to death by stoning; they have no one but themselves to blame for their death. (Leviticus 20:27 NAB)

Death for Hitting Dad
Whoever strikes his father or mother shall be put to death. (Exodus 21:15 NAB)

Death for Cursing Parents
1) If one curses his father or mother, his lamp will go out at the coming of darkness. (Proverbs 20:20 NAB)
2) All who curse their father or mother must be put to death. They are guilty of a capital offense. (Leviticus 20:9 NLT)

Death for Adultery
If a man commits adultery with another man's wife, both the man and the woman must be put to death. (Leviticus 20:10 NLT)

Death for Fornication
A priest's daughter who loses her honor by committing fornication and thereby dishonors her father also, shall be burned to death. (Leviticus 21:9 NAB)

Death to Followers of Other Religions
Whoever sacrifices to any god, except the Lord alone, shall be doomed. (Exodus 22:19 NAB)

Kill Nonbelievers
They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 Chronicles 15:12-13 NAB)
and so much more
 
Tatazo watu wengi huwa hawaelewi, wakisikia mashehe wanahubiri chuki dhidi ya madhehebu mengine wanadhani ni wachochezi, kumbe wao wanahubiri kilicho ndani ya vitabu vyao vya dini, na hiyo ndio kazi yao kama viongozi wa dini.

Andate hii Kali sasa nini muafaka? Mbona kazi ipo, mie nina nduguzangu ,wajomba ,mashangazi na wadogo zangu. Lol kazi. MUNGU ibariki TZ.
 
Suluhu ya udini Tanzania ni kuchora mstari tu! Hata siku moja YESU hajawahi kuitwa Issa, ila upande wa pili wanang'ang'ania kweli. Hawaridhiki na Mohd na Issa wao wanataka na YESU KRISTO! Majanga
Kwa hiyo una hati miliki ya Yesu?
 
Sababu za 'kiimani' za waislam kuchukia mbwa ni
1. Wachafu- bata je?
2. Hufukuza malaika-
sijui wao waliumbwa na shetani?
3. Mtume Muhamad alisema mbwa WEUSI ni mashetani(evil)!- ina maana weupe hawana neno
Toa aya ndani ya Quran,yenye ushahidi na manen yako,usitoe maneno ya kichwani,au maneno ya vijiwe vya gongo.
 
Labda ni baada ya kubainika alipenda sana mademu.. Mpaka wajane.. Mateka na vitoto vya miaka 9! Wajane wengine walikuwa wazuri akaamua kuwauwa waume zao! Na yeye akamchukua huyo mjane.. Ama kweli hii mikitu ni mitamu!
Na yule ambaye hakuoa kabisa,alikuwa bwabwa?
 
Bila shaka hatakamatwa mtu yeyote na baadala yake watasema huyo sista amejipiga mwenyewe. Tusubiri tuone!
 
Anayejiuliza kwamba Nyerere aliwezaje kuudhibiti udini jibu lake ni kwamba,Nyerere aliweza kuudhibiti udini kwakuifanya dini moja kuwa ni bora zaidi kuliko nyingine kati ya dini kuu mbili zilizopo Tanzania.Alifanikiwa kiasi kikubwa sana kuwakandamiza waislamu na kuandaa mazingira ya kuwapotezea haki ya elimu ili kuwatawala vizuri, mfumo ambao unaendelea hadi leo na ndicho ambacho Sheikh Ponda na wanaharakati wengine wakiislamu wanakipinga, lakini walioachiwa mfumo wa Nyerere wanawabambikizia majina machafu wanaharakati hawa kama kuwaita wachochezi, magaidi na kadhalika.Hivi ndivyo Nyerere alivyofanikiwa kudhibiti udini.
 
Mtawa wenyewe kama ana bifu na wanakijiji wacha anyooshwe
 
Umenena vizuri Mkuu, maana kuna wengine wana chuki binafsi na udini uliopitiliza. Mbona kuna tetesi kwamba waliompiga huyo mtawa ni Wakatoliki wenziwe.
Wakipigana wenyewe kwa wenyewe,alimuumiza mwenzake,tayari anakuwa ameshasilimu,kawa muislamu,ujinga huu sijui watauwacha lini.Utafikiri wakristo kwa wakristo hawapigani,wala hawauwani,wala hawagombani.Wakati wanachinjana kila siku na kuuwana,mke na mume tu,wakigombna wakikristo,wangapi wameshauwana kwa kunyongana,kupigana risasi,wacha wanaouwana huko Ireland ya kaskazini,na Kongo,mpaka hapo uganda kuna wanauwa na kutia vilema wenzao wakisema wametumwa na Mungu wao wauwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom