Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Hata wao hatutawaacha salama,zanzibar sio ya waislamu...

Mkuu hebu tuhakikishie kuwa Zanzibar kuwa si majority muslims? Ila pia jua vita kubwa ni kati ya Moslems na Christians na si vinginevyo!!!! Tuwe wakweli na kweli itatuweka huru.
 
By Angel Nylon<br />
Kutokusoma hakuna dini, hata wakristo wapo wasiosoma na hawataki kusoma. Roho mbaya pia haitegemei dini ni tabia ya mtu. Hayo mnayoyasema nyinyi kua waislam hawajasoma mnazidisha tu kwa sababu ya chuki zenu vilevile. Znz mashule kibaooo na yanajaa mpk hayatoshi, vijijini na mashamba mashule kibao. Usiongee kitu ambacho Huna point nacho, Qur an huijui na hujui inatuamrisha nn wacha uzushi.
<br />
<br />
zanzibar uko ndio shule F kabisaaa mtu kasoma sana kaishia form two,ukiona mtoto kafaulu uyo katokea bara...na hapa naongelea majority so usiongee kama uujui ukweli.
Bado Huna point wewe, tena unanchekesha kwa hayo maneno yako, yaani mtu kasoma sana kaishia form 2??? Ha ha haaaaa, kumbe wewe si wa kudicuss nae chochote una jazba na chuki tu. Naona wadada wa kazi weeeingi huku wanatokea kwenu huko, tunawatuma pamoja na mashamba boy, wakati sisi tukiwa makazini. Utakufa kibudu na chuki zako za kijinga nyama wee
 
madrasa ndio shule? Ebu tuondolee upumbavu wako hapa

Hujaambiwa kama madressa ni shule, shule kitu chengine na madressa ni kitu chengine. Na yote hayo tunasoma. Sasa -------- Mimi au wewe ulokua huna point? Naona unapayukwa tu. Njoo na points na evidences za maana. Scrap
 
Godman.
XQ2C4WOGGF6J5RW4N4P3V3Q6BXY6ZIXP.jpeg
 
Wataanza udini,rangi,kabila na mwisho itafuata unatoka sehemu gani ya kisiwa (Pemba au Zanzibar) na hatimaye vita vya wenyewe kwa wenyewe
 
Watu wanaopata mafundisho mabaya huwa na maamuzi mabaya.YESU alisema (pendaneni) hajamaanisha watu wa imani moja tu bali wote wenye mapenzi mema. Zanzbar Pendaneni. Hata watawa ni wa Mungu.
 
Hawa wanafanya vurugu zenji tunamwachia mwenyezi mungu mwenza wa yote.mauaji,kumwagia watu tindikal inaonesha sheitan ameshika enzi zanzibar.
 
Sehem ikiwa kunauonevu lazma yatokee matatizo mengi yakidhalimu ,matusi ,kejeli dharau na mengine mengi yakutisha mwishowake ni umwagaji damu usio na kikomo sasa tukiendekeza matusi bila kuheshimiana kitanuka tu.
 
kwahiyo nyinyi bado munaabudu sanamu? kwani huyu jamaa si ndiye muigizaji wa filamu ambaye ndiye mungu wenu. ama kweli nyinyi hamnazo
Kuna uzi jf,mtu wa imani hiyo amemlawiti mfanyakazi wake,halafu akamrekodi,cd zinauzwa,na si huyo tu,amelawoiti wengi,lakini mpoaka sasa karibia asilimia 98 ya wachingiaji wanamtetea.Lakini ingekuwa jina la imani nyingine,ungeona wanavyotoka mapovu,na kukejeli,matusi na maneno ya ajabu ajabu.
 
Mbona hamuendi kuchangia uzi wa yule aliyelawiti mfanyakazi wake,na akarikodi,na wengine pia amewalawiti.Angekuwa na jina Abdallah,ungeona wachangiaji ni wangi na maneno ya kejeli.Imani yote ingetukanwa,utafikiri alitumwa na hiyo imani kufanya hivyo.
 
hivi ni wapi ambapo hii dini ya 'amani' ni majority na ina exist peacefully na dini nyingine? Egypt? sudan? Nigeria?...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom