Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
"Mtume aling'ooka meno kwa kuipigania dini,sio kwa kuswali"hayo ni maelezo ya kichaa mmoja asieijua shule kaz kukariri mineno ya kiarabu as f kaambiwa mungu n mwarabu.
 
Kuna ugonjwa wa kichaa cha mbwa,mbwa wanatakiwa wafungwe minyororo,na kufungiwa kwenye mabanda maalumu,kichaa cha mbwa ni ugonjwa mbaya sana,mbwa akimng'ata mnyama mwingine,na yule naye anakuwa na kichaa cha mbwa,na huyo mnyama naye akimng'ata mwingine,ugonjwa unaendelea.Kisheria ni kosa kuchukuwa sheria mkononi,kupigwa huyo mtawa,lakini na yeye mtawa pia ana makosa kumwachia mbwa ovyo,ni kosa la jinai,mbwa unayemfuga ukamwachia ovyo.
Kuna wakati serekali huchukuwa hatuwa ya kuwapiga risai mbwa wanaozurura ovyo.Ndio mana Mtume Muhammad,alitoa agizokwa waislamu,wakifuga mbwa awe kwa kazi maalumu,na awe amepewa mafunzo kama ya uindaji,ulinzi nk,lakini sio kufuga mbwa bila kazi maalumu,na mafunzo maalumu,nio hapo anapojizururia ovyo.
Unajua wewe Kiazi,kuna mtu alidonolewa na kuku akashikwa na ugonjwa wa kichaa cha mbwa au chuki zako kwa wakristu,wewe ni bhahau,mbwa kang'ata kuku unampiga mwenzio huo ni ukichaa,imani ya kishetani iyo..
 
Huyu itakuwa alimwachia makusudi huyo mbwa,bila shaka ilishatokea mara nyingi,huyo mbwa kuachiwa ovyo,na majirani wakatoa onyo,je kama angeng'ata mtu mzima,au mtoto mdogo,na akawa huyo mbwa ana maradhi ya kichaa cha mbwa,ugonjwa hatari sana,unaoambukiza kiurahisi sana,hili utaona ni jambo dogo lakini,ni kubwa,kwa tahadhari ya kichaa cha mbwa.
Na mpaka huyo mbwa akamng'ata huyo kuku,itakuwa ana kichaa cha mbwa,si bure.

Mbona too much assumptions...!? si ajabu kuku na mbwa wamesameheana na kesho utawakuta jalalani pamoja huku nyie binadamu mmekatana mapanga, kweli binadamu wa kizazi hiki tuna akili za ajabu, sijui uko wapi ule utashi, hekima na busara tulizojaaliwa na Mungu...!? Aibu sana hii...
 
Siyo jambo kubwa kuvuliwa UTAWA!!! "ugomvi wa majirani kwa majirani". Hawa ndio walinzi wa amani. Upande ulioumizwa hauna jazba kama ule upande wa HIJAB ya muislam Feki Igunga ulioamsha hasira za jamii yote ya kiislamu. Tuendelee tu kuendekeza huu upuzi ambao unaleteleza kunguru mkubwa anayeitwa CCM kufaidi mizoga na ushindi poleni sana!!!

Hawa wapu...mbavu wanaendekezw na ccm
 
Mkristo anatakiwa kuwa na upendo,lakini kwakuwa dhambi iliingia duniani,sio kila anayejiita mkristu ana UPENDO.
Hapo dio pia uwelewe hata hao waislamu unaoskia wamefanya jambo fulani la vurugu,si kutokana na uislamu ndio umewafunza hivyo,ila ni tabia ya mtu binafsi,lakini nyinyi akifanya muislamu,mnautukana uislamu na waislamu wote,kama kwamba hakuna wakristo wanaochinjana na kuuwana elimwenguni,wakati wapo wengi tu duniani,wanauwana kila siku.
 
Narudia we dogo ni pimbi tena bhahau,chichiman,fish mkubwa wewe,unajifanya mwema wakati umemkejeli Jesus,nawaheshimu waislam wastaarabu sina sababu ya kumkejeli Mtume..
 
Hapo dio pia uwelewe hata hao waislamu unaoskia wamefanya jambo fulani la vurugu,si kutokana na uislamu ndio umewafunza hivyo,ila ni tabia ya mtu binafsi,lakini nyinyi akifanya muislamu,mnautukana uislamu na waislamu wote,kama kwamba hakuna wakristo wanaochinjana na kuuwana elimwenguni,wakati wapo wengi tu duniani,wanauwana kila siku.

Hilo nalielewa na sidhani kama nilishasema silielewi.Unaposema NYINYI unakua hauna tofauti na unaowalaumu.Jifunze mamoja na wingi mzee.Au umeathiriwa na Samaki mmoja akioza?
 
Unajua wewe Kiazi,kuna mtu alidonolewa na kuku akashikwa na ugonjwa wa kichaa cha mbwa au chuki zako kwa wakristu,wewe ni bhahau,mbwa kang'ata kuku unampiga mwenzio huo ni ukichaa,imani ya kishetani iyo..
Ndio dini yenu inavyowafundisha kutukana watu,halafu mwasema dini ya upendo,kitabu chote kimejaa matusi matupu
Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa
mathayo 15:2-28
Kiongozi anamwita binadamu mbwa,kwa hiyo ndio mafunzo muliyopewa na kitabu chenu na kiongozi wenu,sioni ajabu kuniita kiazi,ndio mafunzo uliyofunzwa
 
Kuku kang'ata mbwa! ooh no...Mbwa kang'ata kuku! ...Mbwa kazi yake ulinzi, kuku kaingia eneo la lindo, kang'atwa, kaenda kushitaki kwa bosi wake kuwa m'bwa kaning'ata, bosi kaenda kumpiga Mtawa...alimpiga Mtawa! Ahh nilidhani angempiga m'bwa aliyemuonea kuku wake!
 
Ndio dini yenu inavyowafundisha kutukana watu,halafu mwasema dini ya upendo,kitabu chote kimejaa matusi matupu
Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa
mathayo 15:2-28
Kiongozi anamwita binadamu mbwa,kwa hiyo ndio mafunzo muliyopewa na kitabu chenu na kiongozi wenu,sioni ajabu kuniita kiazi,ndio mafunzo uliyofunzwa
Unafikiri msahafu ule unasoma kama unaimba ngonjera,we ni kiazi tu,kama huna akili uitwe nani bhahau,umezaliwa kwa bahat mbaya unaishi kwa maksudi mshamba wewe...
 
Unafikiri msahafu ule unasoma kama unaimba ngonjera,we ni kiazi tu,kama huna akili uitwe nani bhahau,umezaliwa kwa bahat mbaya unaishi kwa maksudi mshamba wewe...
Sioni ajabu ndio mafunzo mnayofunzwa,mafunzo mliyopewa na kiongozi wenu
Biblical god kills 70,000 innocent people because David ordered a census of the people (1 Chronicles 21)Also orders the destruction of 60 cities so that Israelities can live there.He orders the killing of all men ,women ,and children of each city,and the lloting of all of value(Deuteronomy 3)He orders another attack and killing of all the living creatures of the city:men and women,young and old,as well as oxen sheep,ands asses(joshua 6)
in (2 kings 10:18-27 )orgers the murder of allthe worshipers of a different god in their very own church!
 
Kwa usalama tu hasa tutakapoanza utekelezaji wa serikali tatu, dini ya ukristo iondoke Zanzibar, vinginevyo kuna siku mtakuta ummeuawa wote. Kazi za kitume na utawa fanyeni mahali mnapokaribishwa kama hakuna kukaribishwa kung'uteni mavumbi na ondokeni. Haya si maneno yangu bali ni maneno ya Mungu kwa watumishi wake.
 
MKUU wa usalama anapotamka kwamba sista alishambuliwa ila HAKUTOKWA DAMU maana yake nini?JE? Hatua haziwezi kuchukuliwa kisa damu haikumwagika?Kamwe udhalimu hauwezi kuushinda wema,tunajua kwa zanzibar hakuna dola ya kulinda wakristu,Lakini Mwanakondoo alie Hai atatulinda na Atatupigania mpaka mwisho wa dahali,Wema na unyenyekevu ni chem chem ya Mafanikio,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE DAIMA NA MILELE YOTE,AMINA.
 
Sioni ajabu ndio mafunzo mnayofunzwa,mafunzo mliyopewa na kiongozi wenu
Biblical god kills 70,000 innocent people because David ordered a census of the people (1 Chronicles 21)Also orders the destruction of 60 cities so that Israelities can live there.He orders the killing of all men ,women ,and children of each city,and the lloting of all of value(Deuteronomy 3)He orders another attack and killing of all the living creatures of the city:men and women,young and old,as well as oxen sheep,ands asses(joshua 6)
in (2 kings 10:18-27 )orgers the murder of allthe worshipers of a different god in their very own church!
Endelea kuimba ngonjera usichokijua,kukuelimisha wewe ni sawa na kuhamishia bahari nchi kavu ndio maana nakuita kianzi...,akili yako changanya na ilo jini maimuna.
 
Kwa usalama tu hasa tutakapoanza utekelezaji wa serikali tatu, dini ya ukristo iondoke Zanzibar, vinginevyo kuna siku mtakuta ummeuawa wote. Kazi za kitume na utawa fanyeni mahali mnapokaribishwa kama hakuna kukaribishwa kung'uteni mavumbi na ondokeni. Haya si maneno yangu bali ni maneno ya Mungu kwa watumishi wake.
Hata wao hatutawaacha salama,zanzibar sio ya waislamu...
 
Kwa hiyo Mungu wenu hana msimamamo,mara atoa hukumu,mara kishasahau,anaipinga yeye mwenyewe hiyo hukumu,duh kazi ipo.

Inaelekea wewe ni mgumu mno kuelewa haswa nikiangalia unavyo argue na watu humu JF, hivyo hutaweza kuelewa.
 
Aya ya mabikira 72..
Ndio ilioleta yote haya

Acheni upuuzi nyie hao wachungaji wenu wanaofanya biashara ya ngono ndiyo walichojifunza kanisani, hao mapadri wenu wasiioa mnajua wanafanya nini nyuma ya pazia, acheni kukashifu dini za wenzenu kuku nyie
 
Hapo dio pia uwelewe hata hao waislamu unaoskia wamefanya jambo fulani la vurugu,si kutokana na uislamu ndio umewafunza hivyo,ila ni tabia ya mtu binafsi,lakini nyinyi akifanya muislamu,mnautukana uislamu na waislamu wote,kama kwamba hakuna wakristo wanaochinjana na kuuwana elimwenguni,wakati wapo wengi tu duniani,wanauwana kila siku.

Unamaanisha dunia hiihii nnamoishi wakristo wanachinjana? Au una maanisha sayari nyingine. Yaani unaakili ndogo sn na ukichanganya na dini yako ndo basi kazi kukalili mistari ya waarabu tu... unahalalisha uhanisi mnaofanya duniani kote kwa kutamka maneno km umelaaniwa na shetani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom