Mtaji na hatua za kufungua 'sheli' ya mafuta na supermarket | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaji na hatua za kufungua 'sheli' ya mafuta na supermarket

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Money Stunna, Jun 12, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  salaam kwa wote wana jf,naulizia hatua za kupitia pia na ni mtaji gani unafaa kuazisha sheli na supermarket pia,nitashukuru mkinisaidia
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  location location location.........
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pamoja na location ambayo kutoka na UFISADI haifuatwi kwa sasa, ila kuna mambo mengine

  Zile kampuni za mafuta kama Total, Lake oil, BP, GAPCO na kazalika ukienda na Proposal ya kueleweka huwa wanakujengea na wewe unakua unauza tu mafuta na ukienda kinyume na Sheria zao wana kunyang'anya sheli mida hiyo hiyo hawana mchezo,

  So kuna wanao jenga vya kwao wenyewe na kuna vya Makampuni, na vingi vyenye Majina ya watu binafisi au sehemu uje ni mtu mwenyewe kajenga, Mfano JUMA PETRO STATION, SERENGETI FILLING STATION, hivi huwa ni vya watu binafsi, ila vile vyote vyenye majina ya Makampuni kama vile TOTAL, GAPCO, CAMEL. LAKE OIL, BP, na vinginevyo hizi vimejengwa na wenye makampuni na wanao uza ni menegment tu na mwisho wa siku wanakulipa kamisheni ya kuuza, na hapa kama Sheli ni ya GAPCO ukiuza mafuta ya TOTAL inakula kwako mazima, NA UNALAZIMIKA KUUZA NA GRESE ZAO, OIL ZOTE MBILI NA MAFUTA YA BREAK YA KAMPUNI YAO

  Ila kama sheli umejenga wewe mwenyewe una mamlaka ya kuuza mafuta ya kampuni yeyote ile iwe SPACE OIL, LAKE OIL NA KAZALIKA,

  ISHU ZA KUWEKA SUPEMARKET NI MANJONJO YA WEWE ULIE PEWA JUKUMU LA KUUZA MAFUTA, ILA KISHERIA BADO NI HATARI INGAWA WAPO WANAO WEKA HADI GEST SHELI
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  1. utafiti wa eneo husika i.e kipato cha % kubwa ya wakazi wa hapo (location: si lazima ufungue dar au mkoani katikati ya mji)

  2. bidhaa zipi zina mahitaaji makubwa based on kipato cha wakazi

  3. gharama za uendeshaji

  4. utanunua bidhaa kwa bei gani kutoka kwa supplier na utauza kwe bei gani [lengo la supermarket ni kuuza bidhaa kwa beiya chini compared na
  wachuuzi] mara nyingi ilikupunguza bei za bidhaa supermarkets huwa wananunua direct kutoka kiwandani

  5. ubora wa bidhaa, usijaze bidhaa za china (watu wanapenda kununua vitu supermarket kutokana na uhakika wa ubora). Ni lazima uwe mkweli kwa mteja.

  6. mtaji: % kubwa ya watanzania wanaweza kumudu kununua vitu basic kama chakula, usitake masifa kuuza bidhaa za bei kubwa na usijaribu kuiga shoprite, imalaseko, mlimani city wanafanya nini.

  7. uaminifu wa wafanyakazi ni tatizo sugu + michezo michafu ya kubadili bidhaa original na fake + kuingiza na kuuza bidhaaa zao ndani ya biashara yako

  8. customer care mbovu

  9.

  10.

  mkuu mafanikio mema hii ni moja ya plan zangu za baadae ninaamini nitafanya vizuri kwakuwa mpk sasa bado sijaona mtu aliye serious kwenye mambo ya supermarkets, mimi ninatarajia kuifanya iwe hub for specific products
   
 5. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  location ni dar es salaam,mwanza na bukoba
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280


  Mkuu kwenye RED hapo hujaona mtu mmoja mmoja au hata makampuni? make kama ni makampuni makubwa yako yalio seriasi mkuu, na wakenya wakiwa ndo Namba moja, na wameanza kuya fungua kama uyoga, pamoja na kuwepo Dar wapo pia Moshi,

  ILA ISHU YA CUSTOMER CARE NDO TATIZO KUBWA KABISA KULIKO YOTE
  - Kuna siku nimeingia kwenye supermarket moja hivi huku Arusha ni kakuta wale wauzaji wanasukana na wengine wako bise na magazeti ya UDAKU, hii ni picha mbaya sana kwenye swala la wateja

  - Na kuna baadhi ya supermarket wanaangalia kwanza umekuja na USAFIRI GANI kama umekuja na V8 hapo utapata mapokezi ya kufa mtu ila kama umekuja na pikipiki au Baiskeli hakuna atakaye kuchangamkia

  SO MKUU UKWELI CUSTOMER CARE NDO TATIZO KUBWA SANA, ACHILIA MBALI MASWALA YA MITAJI NA LOCATION NA LEO HII HATA SHOPRITE ZINAENDA KUFA KWA SABABU YA WATUMISHI WAKE
   
 7. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Asante kwa ushauri wako nimeupenda,sasa nataka nijue wastani wa mtaji ambao unaweza fikia hatua ya kuanzisha supermarket
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtaji maalumu wa kuanzisha supermarket, na hata biashara nyingine yeyote ile, hakunaga specifiuc capital, kikubwa ni strategies zako katika kutekereza huo mradi wako,
  Unaweza Kuanza na mtaji wowote ule ulio nao, unaweza kuwa na Bilioni 1 bado ukashindwa kuanzisha huo mradi na unaweza kuwa na milioni 100 bado ukaweza kutekereza hiyo miradi yako
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mkuu usifanye biashara hizo. Hazina faida.
  Ila kama una connections na hujali dhuluma, basi unaweza pata faida.
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hizi ni plan za baadae, matarajio ni kuanza na mini market (ya mazao ya kilimo na mifugo) subject to expand, tatizo ndugu zangu watz ukianza kuwaambia mawazo ya kuungana na kumiliki supermarket wanakuona kama mwehu wao wanasubiri waone biashara imesimama kwanza ndio waamini.
  nimeona kwa wenzetu wakiwa na supermarkets nyingi lakini kila supermarket utakuta ina sifa yake ya kipekee, tatizo tz unakuta kila investor anafungua supermarket ambayo ni copy & paste ya mwenzake huku bei zikiwa juu na mtz wa kawaida hawezi kuzimudu... baada ya miaka 2 zinafilisika.
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  huwa wanaanza na mini market inayokua kidogo kidogo hiyo level ya supermarket ni hatua ya baadae sana na ni hatari sana kuanza nayo
   
 12. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  asanteni kwa ushauri wenu,nitaufanyia kazi pia kama mna zahidi la kuongea naomba mueendelee kushauri,kwani natumaini kuna watu wengine apa pia wangependa kujua,mbarikiwe
   
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  True mkuu, hilo ndo Tatizo na hii inasababishwa na UMIMI, kila mtu anaona bora amiliki DUKA, Unakuta mtaa unawakazi 400 kuna maduka 30 hapo ndo ujiulize,
  Na kuanza na mazao ya kilimo na mifigo na vizuri kabisa, tena inatosha kabisa,
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni biashara GANI isiyo kuwa na faida, chocote kinacho itwa biashara ni lazima iwe nafaida bila kujalisha ni kiasi gani cha FAIDA

  Na hata hivyo ili kutengeneza FAIDA inategemena na huduma yako, make huduma ndo inadetermine FAIDA
   
 15. F

  Fofader JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45


  Mkuu sahihisho kidogo. Shell ni kampuni ya mafuta kama ilivyo BP, PUMA, GAPCO n.k. Ukisema sheli ya Gapco ni sawasawa na kusema BP ya GAPCO.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sheli ndio nini? Au unamaanisha Gas station.
   
 17. lolyz

  lolyz JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Shell ni kati ya kampuni zilizoanza biashara hizi kwa hapa nchini filling station zote kibongo-bongo tulisummerrize kwa jina hilo shell..
   
 18. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hapana,anamaanisha Refuelling station
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimeupenda mtiririko wako jinsi ulivyojibu big up
   
 20. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  kampuni yoyote ya mafuta hata uwe na proposal ya maana kiasi gani wanahitaji uwe na starting capital ya atleast 150 M plus uzoefu kdogo kwenye hiyo field
   
Loading...