Fundi wa pump za Petrol Station

rodreven

Member
Sep 13, 2017
55
94
Habari wana Jukwaa hili.

Kampuni ya STAR OIL inahitaji mtu ambaye ni mjuzi wa kutengeneza pump za petrol station. Ambaye itamwajiri moja kwa moja. Kazi yake kubwa itakuwa ni kutatua changamoto zote za pump katika vituo vya mafuta vya STAR OIL. Na anatakiwa awe huru kusafiri sehemu yoyote hapa Tanzania. Kama kuna mtu unamfahamu ambaye yupo vizuri kwenye ufundi wa pump za petrol station unaweza ukamjulisha fursa hii na anaweza nitafuta kwa DM ili niweze kumpa ABC.

Note:
Haitakuwa kazi ya kiholela, mtu atajiandaa kwa intensive interview ambayo akipita ataweza kuajiriwa. Mimi kazi yangu ni kukurecommend kwa waajiri kuwa unaweza hio kazi vingine kuhusu mshahara na bima za afya na NSSF utauliza na kuelewana na HRs. Na wala sihitaji hela ya mtu kwa kazi kwa kumuunganisha na kazi hii. What we need is you to deliver your abilities.
 
Thank you bro, ngoja niongee na godlove,ni bingwa wa hizo mambo,ila aliwahi kuniambia kuwa hapendi kuajiriwa,maana mishe za mtaa zinamlipa,ila juzi kati kaniambia kazi za mitaani zimekuwa ngumu nadhani atakufaa,ngoja nimcheki chap
 
Weka tangazo vizuri likiwa na maelekezo ya jinsi ya kutuma maombi, ili tulisambaze tangazo sehemu mbalimbali, mpate strong candidates.
 
Thank you bro, ngoja niongee na godlove,ni bingwa wa hizo mambo,ila aliwahi kuniambia kuwa hapendi kuajiriwa,maana mishe za mtaa zinamlipa,ila juzi kati kaniambia kazi za mitaani zimekuwa ngumu nadhani atakufaa,ngoja nimcheki chap
Wasiwasi wangu pia mafundi wengi huwa hawapendi kuajiriwa kwa sababu posho za kila muda zinaondoka inabaki ile hela ya mwisho wa mwezi tu. Sasa, cha kuangalia ni yeye kama atapenda na kuafikiana salary anaweza kutusaidia kwa muda. Ukimpata nijulishe pia na namba yake ili niweze kumuunganisha.
 
Habari wana Jukwaa hili.

Kampuni ya STAR OIL inahitaji mtu ambaye ni mjuzi wa kutengeneza pump za petrol station. Ambaye itamwajiri moja kwa moja. Kazi yake kubwa itakuwa ni kutatua changamoto zote za pump katika vituo vya mafuta vya STAR OIL. Na anatakiwa awe huru kusafiri sehemu yoyote hapa Tanzania. Kama kuna mtu unamfahamu ambaye yupo vizuri kwenye ufundi wa pump za petrol station unaweza ukamjulisha fursa hii na anaweza nitafuta kwa DM ili niweze kumpa ABC.

Note:
Haitakuwa kazi ya kiholela, mtu atajiandaa kwa intensive interview ambayo akipita ataweza kuajiriwa. Mimi kazi yangu ni kukurecommend kwa waajiri kuwa unaweza hio kazi vingine kuhusu mshahara na bima za afya na NSSF utauliza na kuelewana na HRs. Na wala sihitaji hela ya mtu kwa kazi kwa kumuunganisha na kazi hii. What we need is you to deliver your abilities.
Kama hujapata mtu, nikupe vijana wangu wawili atakae faulu basi itakuwa bahati yake. Ni mafundi wazoefu, wanafanya kazi kwa uaminifu kabisa total energies na oryx energies, mbali na dispenser pump wanajua vizuri umeme na generator services.
Kama itakupendeza naomba unijulishe private kwa mawasiliano. Natanguliza shukurani kwako, na nategemea utalifanyia kazi..

Kazi njema..
 
Back
Top Bottom