school boy dash
New Member
- Dec 9, 2022
- 4
- 5
Heshima kuu ziwafikie Wadau..
Katika biashara ambazo kukweli naona zina pesa ndefu na ikiwa moja ya biashara ya ndoto yangu pia moja wapo ni hii ya kuendesha kituo cha kuuza mafuta (PETROL/GAS STATION)
Ingawa nafahamu kuwa biashara hij pia inahitaji mtaji mrefu (sina uhakika sana)
Hivyo bas nikiwa kwenye mchakato wa kuikimbiza ndoto yangu nikaona si mbaya nilete mada yangu kwenyw jukwaa hili nikiamini kuwa nitapata mwanga kwenye swala hili.
Hivyo bas kwa mtu yoyote mwenye kufahamu taratibu zote zinazo takiwa kufuatwa ili kuweza kumiliki kituo cha kuuza mafuta atupe maujuzii.
NB: Niliwahi kusikia kuna watu wanafungua vituo ila wana tumia majina ya makampuni yanayo import mafuta kama vile TOTAL, OIL COM, CAMEL OIL n.k
Mwenye kujua pia katika hilo itakuwa poa kama ukishare maujuzi.
Nawakilisha...