Mswaki wa leo alfajiri

Mswaki wa leo alfajiri

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,812
Reaction score
870,696
Niko chumbani natweta bado siamini kilichotokea, shetani alitaka kunichepusha kwa nguvu. Nimeamka alfajiri nijiandae kwenda kuabudu, nikiwa na taulo tu naswaki akaja dada wa chumba cha jirani kavaa kanga moja tu na kopo lake la maji na kuanza kusugua gaga mbele yangu kwa juu kidogo.

Maungo yote yalikuwa yanatikisika, mara mende akampitia chini ya miguu yake, dada akaruka akateleza kufumba na kufumbua akaniangukia tukaenda wote chini tukiwa uchi kabisa! Kwa sekunde kadha miili yetu iligandana tukihisi joto la kila mmoja.

Halafu ghafla akanyanyuka akachukua khanga yake na kukimbilia chumbani kwake. Nami niko chumbani kwangu bado sina nguvu ya hata kupiga pasi

Najiuliza tu kwanini shetani ana majaribu kiasi hiki? Namchukia shetani lakini bado nakumbuka pale chini tulipolaliana
 
Duh ukiwa na hasira njoo zako JF utatabasamu tu hapa nimecheka pekee angu thanks alot brot' kwa kuifanya asbh yangu ianze poa nimekudondoshea like hapo,kama vipi mfate chumbani kwake mwambie mende karudi tena.
 
Aisehee:lol: kumuacha uyu beib roho inauma ebu mrudia mchane live
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom