Mswaki wa leo alfajiri

Mswaki wa leo alfajiri

Niko chumbani natweta bado siamini kilichotokea, shetani alitaka kunichepusha kwa nguvu. Nimeamka alfajiri nijiandae kwenda kuabudu, nikiwa na taulo tu naswaki akaja dada wa chumba cha jirani kavaa kanga moja tu na kopo lake la maji na kuanza kusugua gaga mbele yangu kwa juu kidogo.

Maungo yote yalikuwa yanatikisika, mara mende akampitia chini ya miguu yake, dada akaruka akateleza kufumba na kufumbua akaniangukia tukaenda wote chini tukiwa uchi kabisa! Kwa sekunde kadha miili yetu iligandana tukihisi joto la kila mmoja.

Halafu ghafla akanyanyuka akachukua khanga yake na kukimbilia chumbani kwake. Nami niko chumbani kwangu bado sina nguvu ya hata kupiga pasi

Najiuliza tu kwanini shetani ana majaribu kiasi hiki? Namchukia shetani lakini bado nakumbuka pale chini tulipolaliana
Kweli wewe ni Fisi Maji.... Unamjua fisimaji?
 
we jamaa ni muandishi mzuri sana wa JF muvi, yani kila siku lazima u post muvi, eehh baada ya hapo shetani ikawaje sasa? ajakutoboa?
 
we jamaa ni muandishi mzuri sana wa jf muvi, yani kila siku lazima u post muvi, eehh baada ya hapo shetani ikawaje sasa? Ajakutoboa?

kijana leo unakunywa bia gani mhudumu akuhudumie?
 
Niko chumbani natweta bado siamini kilichotokea, shetani alitaka kunichepusha kwa nguvu. Nimeamka alfajiri nijiandae kwenda kuabudu, nikiwa na taulo tu naswaki akaja dada wa chumba cha jirani kavaa kanga moja tu na kopo lake la maji na kuanza kusugua gaga mbele yangu kwa juu kidogo.

Maungo yote yalikuwa yanatikisika, mara mende akampitia chini ya miguu yake, dada akaruka akateleza kufumba na kufumbua akaniangukia tukaenda wote chini tukiwa uchi kabisa! Kwa sekunde kadha miili yetu iligandana tukihisi joto la kila mmoja.

Halafu ghafla akanyanyuka akachukua khanga yake na kukimbilia chumbani kwake. Nami niko chumbani kwangu bado sina nguvu ya hata kupiga pasi

Najiuliza tu kwanini shetani ana majaribu kiasi hiki? Namchukia shetani lakini bado nakumbuka pale chini tulipolaliana
Usnitanie wewe umevunja amri ya sita tayari, hiyo shetani sijui nini nasema ni blah blah

Dada wa chumba cha jirani hajapona
 
ole sana kwa yaliyokukuta shetan ashindwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom