Mswaki wa leo alfajiri

Mswaki wa leo alfajiri

Hapo unatakiwa ukaungame. huo tayari ni mchepuko wa mawazo

nimeshaungama na nimeshapokea msamaha najitahidi shetani asije akanichepusha tena na majaribu yake! namchukia shetani japo saa ingine..!!!
 
Hii stori haijaisha stakii kuamin kama bintii alitoka mzima bila kugegedwa...
 
kama hupati unachotaka, bora utake unachopata. ningekaa kwenye chumba kimoja ningefanya fumigation daily if need be; kuliko niishi na mende na panya. huo mtazamo wako ni sawa na wa mapolisi, wanakaa kota kwa hiyo hawawezi hata kupiga rangi nyumba wanazokaa na kuzifanya kuonekana kama makaazi ya binadamu.

Chumba kimoja alipie fummigation?
 
Niko chumbani natweta bado siamini kilichotokea, shetani alitaka kunichepusha kwa nguvu. Nimeamka alfajiri nijiandae kwenda kuabudu, nikiwa na taulo tu naswaki akaja dada wa chumba cha jirani kavaa kanga moja tu na kopo lake la maji na kuanza kusugua gaga mbele yangu kwa juu kidogo.

Maungo yote yalikuwa yanatikisika, mara mende akampitia chini ya miguu yake, dada akaruka akateleza kufumba na kufumbua akaniangukia tukaenda wote chini tukiwa uchi kabisa! Kwa sekunde kadha miili yetu iligandana tukihisi joto la kila mmoja.

Halafu ghafla akanyanyuka akachukua khanga yake na kukimbilia chumbani kwake. Nami niko chumbani kwangu bado sina nguvu ya hata kupiga pasi

Najiuliza tu kwanini shetani ana majaribu kiasi hiki? Namchukia shetani lakini bado nakumbuka pale chini tulipolaliana

JF is NEVER boring !!!
Dah. Nimejikuta nacheka mwenyewe kama mjinga. Hapo itabidi mpige fumigation tu mende wasilete balaa tena. Kamjulie hali mwenzio kama ameumia, si ndo upendo wa agape huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom