Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,152
- 7,420
Aisehee:lol: kumuacha uyu beib roho inauma ebu mrudia mchane live
Hii ni sugua gaga
Aisehee:lol: kumuacha uyu beib roho inauma ebu mrudia mchane live
Hao mende tukifanya fumigation hautawaona tena. Hebu nipm tuongee biashara ukitoka church.
Nice fiction! Shigongo anakutafuta mkuu! Hivi inaingia akilini kweli, mliangukiana dakika ngapi kiasi cha mpaka kuanza kuhisi joto la mwingine?? Halafu katika taharuki kama hio hisia hizo zinawezekana kweli in that fraction of second?otherwise utakuwa na pepo la ngo.no, si bureeeeee!

Naona unakamata fursa......
Akisema hana hela ujue anategea makusudi ili jumapili ijayo aangukiane tena na mpangaji mwenzie
Niko chumbani natweta bado siamini kilichotokea,shetani alitaka kunichepusha kwa nguvu. Nimejilawa alfajiri nijiandae kwenda kuabudu, nikiwa na taulo tu naswaka akaja dada wa chumba cha jirani kavaa kanga moja tu na kopo lake la maji na kuanza kusugua gaga mbele yangu kwa juu kidogo, maungo yote yalikuwa yanatikisika...mara lahaulah mende akampitia chini ya miguu yake, dada akaruka akateleza kufumba na kufumbua akaniangukia tukaenda wote chini tukiwa uchi kabisa! Kwa sekunde kadha miili yetu iligandana tukihisi joto la kila mmoja, halafu ghafla akanyanyuka akachukua khanga yake na kukimbilia chumbani kwake. Nami niko chumbani kwangu bado sina nguvu ya hata kupiga pasi! Najiuliza tu kwanini shetani ana majaribu kiasi hiki? Namchukia shetani lakini bado nakumbuka pale chini tulipolaliana
Hao mende tukifanya fumigation hautawaona tena. Hebu nipm tuongee biashara ukitoka church.
Nice fiction! Shigongo anakutafuta mkuu! Hivi inaingia akilini kweli, mliangukiana dakika ngapi kiasi cha mpaka kuanza kuhisi joto la mwingine?? Halafu katika taharuki kama hio hisia hizo zinawezekana kweli in that fraction of second?otherwise utakuwa na pepo la ngo.no, si bureeeeee!
spelling error ni FINCTION sio FICTION