Mswaki wa leo alfajiri

Mswaki wa leo alfajiri

Sasa wewe si ndo umeona fursa from another angle? Niondolre hapa, naweza kusupply hata panya buku
fumigation halafu iweje, we mwanga nini?🙂. sema wanapatikana wapi ili jamaa awaongeze!
 
Niko chumbani natweta bado siamini kilichotokea,shetani alitaka kunichepusha kwa nguvu. Nimejilawa alfajiri nijiandae kwenda kuabudu, nikiwa na taulo tu naswaka akaja dada wa chumba cha jirani kavaa kanga moja tu na kopo lake la maji na kuanza kusugua gaga mbele yangu kwa juu kidogo, maungo yote yalikuwa yanatikisika...mara lahaulah mende akampitia chini ya miguu yake, dada akaruka akateleza kufumba na kufumbua akaniangukia tukaenda wote chini tukiwa uchi kabisa! Kwa sekunde kadha miili yetu iligandana tukihisi joto la kila mmoja, halafu ghafla akanyanyuka akachukua khanga yake na kukimbilia chumbani kwake. Nami niko chumbani kwangu bado sina nguvu ya hata kupiga pasi! Najiuliza tu kwanini shetani ana majaribu kiasi hiki? Namchukia shetani lakini bado nakumbuka pale chini tulipolaliana
Weee bure kabisa mimi nilidhani umemwasha cha asubuhi kumbe bla bla
 
Sasa wewe si ndo umeona fursa from another angle? Niondolre hapa, naweza kusupply hata panya buku

King'asti nilikuwa nawachukia mende lakini naelekea kubadili mwelekeo, ucjali dili utapata lakini si hapa mtaani kwetu hasa nyumba niliyopanga
 
Mkuu kazi unayo. Shetani atarudi tena kukagua kazi zake. This time akirudi atapitia kwa huyo dada. Huyo dada ipo siku ataongozwa na shetani kukugongea mlango alfjiri sana ataomba dawa yameno.
 
Mkuu kazi unayo. Shetani atarudi tena kukagua kazi zake. This time akirudi atapitia kwa huyo dada. Huyo dada ipo siku ataongozwa na shetani kukugongea mlango alfjiri sana ataomba dawa yameno.

hahahaaa NAMTUMBA natamani aje usiku kuomba MSHUMAA tanesco wakikata umeme
 
hahahaaa NAMTUMBA natamani aje usiku kuomba MSHUMAA tanesco wakikata umeme

Mkuu kama hajaolewa hapo unapiga bao kwa kisigino. Hahahahaaa......nawaambiaga rafiki zaku hata shetani ana faida zake.
 
Mkuu kama hajaolewa hapo unapiga bao kwa kisigino. Hahahahaaa......nawaambiaga rafiki zaku hata shetani ana faida zake.

hahahaaa tatizo kafunga mzigo kama gilesi aliyejaaliwa, naogopa wazee wa bandari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom