Msiri wako ni nani JF?

Msiri wako ni nani JF?

Mbona Mshana Jr, kuna uzi humu unahoji kama Ulozi upo au ni myths tu kwa nini huwasaidii vijana kuelewa! Nimeshangaa mpaka Msukuma mmoja naye anasema ni mambo ya kufikrika!
Aah vijana wetu wakikurupuka huko walikosoma sentence moja wanakuja wanasema wamefanya utafiti wa kina hakuna uchawi

Ukiwawekea mada nyingine ya kuwaunga mkono wanakupinga😀
 
Ongea basi na shemeji yako aache macho juu!! Atoto ananikwaza!!
Imeisha i
b55a46dc-e3e5-4994-ae79-193cda45701f.jpeg
yo
Ongea basi na shemeji yako aache macho juu!! Atoto ananikwaza!!
 
Back
Top Bottom