Wewe umevuka hizo levelDad?😎
Mbona kama unatoa tahadhari mkuu😅Mtu unamuamini vizuri tuu, mnakutana, mnaendeleza urafiki, badae anakuuza humu JF. 😁
Unaogopa kuuzwa?Mtu unamuamini vizuri tuu, mnakutana, mnaendeleza urafiki, badae anakuuza humu JF. 😁
Hata wewe umeonaMbona kama unatoa tahadhari mkuu😅
Basi tutaliunga hukohuko sio mbaya sana😅.... Au basi na utu uzima huu nikiitwa shilawadu haifai😂. . Ila kusema atamaliza😄 Sijui...🙌🏿🏃🏿
Kwahyo we uke wako kuanikwa humu freshy tu sio?🫢Unaogopa kuuzwa?
Mimi sijaona kitu mtu atafanya humu nikawa shock labda aanike nyapu live na hiyo itanisumbua for one day
Then life lazima lisonge🥱
Kama upo hivyo vizuri, usije ukamuuza afisa masoko wa TBL.Maybe,ila nafikiri I’m more consistent than you think mkuu..
Hakuna shida hata upo kwenye hali nzuri🏃♂️🏃♂️🏃♂️😎Kwahyo we uke wako kuanikwa humu freshy tu sio?🫢
Mbona kama unatoa tahadhari mkuu😅
Muda wote huo nije kumuuza leo lol! Acha uoga mkuu jitungue usiogope mambo ya mauzo😄Kama upo hivyo vizuri, usije ukamuuza afisa masoko wa TBL.
Wa nani uko kwenye hali mbaya😂Hakuna shida hata upo kwenye hali nzuri🏃♂️🏃♂️🏃♂️😎
Unaogopa kuuzwa?
Mimi sijaona kitu mtu atafanya humu nikawa shock labda aanike nyapu live na hiyo itanisumbua for one day
Then life lazima lisonge🥱
Hahah kama yeye alivyokuamini basi nawewe muamini tu mkuu!Sio tahadhali, kuna mtu nataka kumwamini, simtaji lakinj nahofia atakuja kuniuza na siri zangu azianike hapa JF. 😁
Umdhania ndie kumbe sie kaa chonjo😎Sio tahadhali, kuna mtu nataka kumwamini, simtaji lakinj nahofia atakuja kuniuza na siri zangu azianike hapa JF. 😁
Watu washakuwa na roho kubwa aisee!Kwa iyo akitokea mtu ulimwamini sana, akaja akaweka file lako humu JF, utaona poa tuu? 😊
Kwahyo we uke wako kuanikwa humu freshy tu sio?🫢
Unadhani utafanyaje na tayali umeanikwa uchukue kitanzi au?Kwa iyo akitokea mtu ulimwamini sana, akaja akaweka file lako humu JF, utaona poa tuu? 😊