Nakataa siyo mimi na id natelekezaHata kama hana siri? Usije ukajikuta katupia Selfika!😀
Passion yako ya kuanzisha nyuzi hakuna wa kukukamata😅😀😀😀 kule lawama huku sifa💪🏿View attachment 3579466
Ni mimi mwenyewe na Mungu wangu!Namalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!
Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.
Je wewe MSIRI wako ni nani JF?
Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Niko na mdogo wangu, nishamwambia kila kitu🤣Uko wapi nije.. Usije na mdogo wako😀 nina nataka tutete
Tutakupeleka sumbawanga, wateja wengi🤣Sasa ndio umefanya nini shee🥺Nikiachwa utajua pa kuniweka😀
Halafu kuna ID nimeiona inakumendea sana, sislewi!!Yaani nakutetea halafu unaharibu tena🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ukikuta nimekutetea tena niko paleee.....
Mbona Mshana Jr, kuna uzi humu unahoji kama Ulozi upo au ni myths tu kwa nini huwasaidii vijana kuelewa! Nimeshangaa mpaka Msukuma mmoja naye anasema ni mambo ya kufikrika!Nimestaafu ulozi nikichoka kucheza na wajukuu (sio hawa wenu humu😀) naingia JF