Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 19,499
- 59,521
Nina imani watatulinda, mara ya mwisho imeitishwa Sensa ya Wazee humu
Kwa kweli tumebaki wachache, kama idadi ya Tembo mbuga ya Mikumi 🤪
Nina imani watatulinda, mara ya mwisho imeitishwa Sensa ya Wazee humu
🤣🤣🤣🤣Mganga hajigangi😀
🤣🤣🤣 kwahiyo unapanga cha kutoa sio?Sio hichooo😀 loh!
bado na zooom !!!Namalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!
Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.
Je wewe MSIRI wako ni nani JF?
Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Sasa kucha na nywele zinakuzuia nini?Yeah kama kucha au nywele😀
Nikilewa tu nazimwaga sheee🤣🤣Mtumee nimekwisha🙆🏿♂🙊
Hata wajinga huzeeka.Umeanza kuwa na wasiwasi na Wazee 🤭
Kuweni na huruma tafadhali 🤗
😁😁 mwanga ukipenya haurudi ndio uzuri wa PM ungekuwa unarudi back mwanga wake.. ingekuwa ni mbioooPM ni kama jumba la kioo transparent ujue.. Haliingizi maji lakini mwanga unapenya😀
Huyo yupo ignore listNakuchagulia Lucas Mwashambwa