Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,869
- 183,158
Aaah umevuruga tena!! Leta hela nikubembelezee.Mdogo wako kanibloku
Aaah umevuruga tena!! Leta hela nikubembelezee.Mdogo wako kanibloku
Ni kama ripoti ya yule babu, yaani ukichimama nchale, ukichuchumaa nchale🤣🤣Mtanimaliza mwaka Hui🤣🤣
Kwa kweli tumekula kula chumvi hasa 🤗Asante kwa kunibeba angalau leo😅😅 ila mimi na Grahams ni wazee sasa!!
Sema kaka Mshana anastahili tuzo ya Nobel, sio kwa kuichangamsha jf, daily asee!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪Mods popote mlipo nyie ndiye wasiri wangu pekee ninao waamini
Mnajua kabisa Wazee huwa tunaongea nini na Wajukuu zetu tukiwa tumevuta Kiko zetu 🤭
Endeleeni kutulinda dhidi ya Vijana wa hovyo wanapotuwekea mitego kutaka kutukata mitama wakihisi huwa tunakagua Wajukuu zetu humu jambo ambalo kwa Uzee huu hakuna Mzee yeyote anafanya🤪
Hello Sunday 🥂
Labda na tunguli🤣🤣🤣Hureeee nimependwa tena😋🥰😘View attachment 3582409
Vibaya hivyo kuwacheka Wazee 🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪
Kwa umri wetu Wazee, ukipata hiyo nafasi usiiache ikupiteHureeee nimependwa tena😋🥰😘View attachment 3582409
Babu wa hovyo huyu 😀🙌Kwa umri wetu Wazee, ukipata hiyo nafasi usiiache ikupite
Maana kwa Uzee wetu, baridi huwa linatupiga mno ukiwa single 🤪
[emoji23][emoji23][emoji23]Kasema anatafuta target akipiga asikosee [emoji81][emoji81]
Sema naye anauweka mpaka wambea tutasahau mke mwenzie atjibebea ushindi..!!
Alete kipindi watu tuna mizuka akija siku tuko busy kuuza vijora atakutana na minguchiro imvamie..!! [emoji81][emoji81]
[emoji482]Imeisha hiyoooo [emoji81]
Hata huku nje sina msiri ndio itakuwa Jeiefu...siri zangu ni zangu nazijua mimi na Mungu tuNamalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!
Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.
Je wewe MSIRI wako ni nani JF?
Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Inapendezamsiri wangu ni ShesRise_1
Ulipotea sana dear, nilikumiss.Hata huku nje sina msiri ndio itakuwa Jeiefu...siri zangu ni zangu nazijua mimi na Mungu tu