Msiri wako ni nani JF?

Msiri wako ni nani JF?

Mshana Jr we mzee uliwaza nini ukaja na huu uzi 😅😅,ila kondoo wangu nina dhambi zake Seran nimechagua kuwa msiri wake
CC: min -me 🙌🏿😂
Hahaha.jpeg
 
Safari za mamba kenge hawakosi ndo hao nguchiro..!!

Watu pekee tunaowataka ni Depal na fake P tu..!! Sisi tunaongea na wafuga mbwa na sio mbwa..!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Wao wajisemeshe mpaka waingie period ila hatutoi kiki..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] swadaktaaaa!!
 
[emoji81][emoji81][emoji81]
Nguchiro ana harufu mbaya.!!

Bana JF ukiwekwa umbea haunogi bila sisi na ule uzi tunao sana..!! Wataturudisha wenyewe..

Kamanda safari hii asijibu nguchiro wowote yeye ashushe missile tu..!! Na D naye aje ashushe tuone nani mkali wa vita..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Yaan wafanye kumalizia mission hii, sijapenda bila kupata final Episode.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom